Benki za kwenye simu ni zaidi ya Benki Kuu!

Huyo JAMA anaeleweshwa lkn hatak kuelewa, digital money yaani Pesa za mtandaoni zinakua backed na physical money yaani Pesa halisi. Hizo ni monetary policies. Hao songesha kama Wana billion ya physical money wanaipeleka kwa chombo husika inabadilishwa kua digital ambayo mnatumiwa. Wakala akiishiwa digital money ( float) anaenda na physical money kuongeza float , au akiwa na float na kaishiwa na physical fiat currency anaenda either kwa wakala mkuu au benki kupata physical money. Usidhani kwamba ni namba tu wanaweka, ingekua hvo Dunia kusingekalika. Hata benki kuu kuprinti Pesa Kuna vigezo cio kwamba inaprinti tu. Ingekua inaprinti tu bas ingewekeza nguvu kwa kuprinti ili nchi iwe na Pesa nyingi. So you have to understand that something is backing up that digital money that's why it holds value.
No malice to anybody!!
 
Wakala anaingiaje hapa? Wakala ananunua float kwa pesa zake. Anavyoenda kuibadili kuwa cash ni pesa yake anaibadili.

Sasa wewe unakopa Songesha lakini unaenda kuchukua pesa za wakala wa simu pesa ambaye anakupa pesa yake. Huendi kuchukua kwenye ofisi za Songesha. Hivyo Songesha wametoa mkopo bila kutoa pesa.
 
Big NO... Kwa mantiki yenu ni kwamba songesha akikopesha milioni it's just numbers hakuna pesa inayotumika, basi hata akilipwa milioni na laki Moja(laki Riba) hakuna anachopata maana hata Hio laki it's just numbers....

Hii mikopo ni mashirika ya bank yako nyuma na wanatoa hard cash kwa governing monetary funds involved, kwa mantiki Hio mtu anaweza anzisha program awe anawapa tu watu pesa wawe wanatoa kwa wakala na asipate hasara sio? Unadhani Voda angekubali huo ujinga,
 
Hizo kampuni ziko kama benki kuu. Hazipati hasara wao ni faida tu. Wanaandika wamekusongesha laki moja. Unaenda kwa wakala unaichukua. Ukilipa unaingiza kwa wakala labda laki na kumi. Wanachukua kumi na kugawana na voda.
Kwa mwezi labda 100milioni hazijalipwa. Lakini milioni 500 zimeingia kama faida. Wanatoa 100m kwenye 500m na kubakiwa na faida 400m.

Huu ni mfano wa wanavyoweza kopesha pesa bila kuwa nazo. Ni zaidi ya benki kuu, maana benki kuu inawabidi wachapishe hizo pesa.
 
Wabongo hii hawatakuelewa! Yaani utoe mikopo hewa tu! Pesa haijawahi kuwa rahisi hivyo
 
Mitandao ya Simu kiuhalisia ingeweza kuua Benki zote ina miundombinu na uwezo wa kifedha kufanya hivyo..., ila kisheria hairuhusiwi kufanya hivyo wao ni watoa huduma za platform hata hizo pesa lazima wawe na benki mojawapo kwamba wana akaunti huko na kudeposit huko....

Ndio maana pesa inayokaa escrow walikuwa wanapata faida na wenyewe wakaamua kuwagawia wateja wao (walianza Tigo Faida na Mpesa wakafuatia )In short bila sheria za BOT hizi benki zingekufa kifo cha kawaida
 
Big NO... Kwa mantiki yenu ni kwamba songesha akikopesha milioni it's just numbers hakuna pesa inayotumika, basi hata akilipwa milioni na laki Moja(laki Riba) hakuna anachopata maana hata Hio laki it's just numbers....

Hii mikopo ni mashirika ya bank yako nyuma na wanatoa hard cash kwa governing monetary funds involved, kwa mantiki Hio mtu anaweza anzisha program awe anawapa tu watu pesa wawe wanatoa kwa wakala na asipate hasara sio? Unadhani Voda angekubali huo ujinga,
Hivi ndio Benki wanavyotengeneza pesa kutoka from this air...., Banks n.k.wanaruhusiwa kukopesha hata zaidi ya pesa waliyonayo wewe ukikopa elfu kumi kwamba wamekupa sio lazima kwamba ile elfu kumi ipo kwenye safe kwa wakati huo ila wewe utakaporudisha elfu 10 na mia tano baada ya kuuza machungwa yako ni kwamba umewaongezea 500 kama faida na wao kuongeza elfu 10 katika mzunguko.... (FIAT Money pesa inazalishwa kwa njia ya credit ) na sio kwamba watu wanaamua kuchomoa printer yao kwamba tuongeze matrilioni kadhaa kwenye mzunguko.....
 
Kweli akili zero khaa, sasa yule anaekupa anatoa wapi kama sio aliweka bank akapewa izo digital numbers, au atoe pesa apewe izo digital, ndo maana kuna muda wanaishiwa salio lazima akaweke bank, ili hao waweze kuzibadili kuwa codes ndo maana kila muamala una namba
 
Hao ni mawakala. Nazungumzia benki za mikopo kwa njia ya simu. Huwa zinakusanya pesa na kuwapelekea Tigo au Vodacom ili kuweka pesa tunazokopa kwa Nivushe na Songesha? Au wanaandika mkopo, tunaneda kwa wakala tunatoa. Tukirejesha wao wanachukua faida yao?
 
W

Wale wanapeleka kiasi yan wanarisk so mtu akiomba mkopo anapewa direct
 
Kama benki? Maana benki inaruhusiwa kukopesha nadhani hadi mara kumi ya pesa walizonazo. So hizo benki zinaingiza kiasi kidogo kwenye akaunti ya Songesha au Nivushe na kuendelea kukopesha?
 
Hizo kampuni ziko kama benki kuu. Hazipati hasara wao ni faida tu. Wanaandika wamekusongesha laki moja. Unaenda kwa wakala unaichukua. Ukilipa unaingiza kwa wakala labda laki na kumi. Wanachukua kumi na kugawana na voda.
Kwa mwezi labda 100milioni hazijalipwa. Lakini milioni 500 zimeingia kama faida. Wanatoa 100m kwenye 500m na kubakiwa na faida 400m.

Huu ni mfano wa wanavyoweza kopesha pesa bila kuwa nazo. Ni zaidi ya benki kuu, maana benki kuu inawabidi wachapishe hizo pesa.
We jamaa cha kukusaidia kasome kuhusu:

Digital money
Fractional-reserve banking
Correspondent Bank

Hizo huduma za Songesha na nyingine za kutoa mikopo kwenye mitandao ya simu kuna Bank ndiyo zinatoa hizo pesa kwa kupitia leseni walizopewa na BOT.

Bank of Tanzania na Central Banks nyingine kwa kila nchi ndiyo inayoshikilia Digital money, hakuna mtu au taasisi inaweza kujiandikia tu namba kwasababu kila muamala una taarifa (digital signature): kama mtu akitoa/akikopa 10,000 basi ujue hiyo taarifa kuna mahali ni -10,000.

Digital money ni taarifa. Mfano, bank transfer siyo kwamba ni pesa kweli zinatoka account A kwenda B, au Bank A kwenda B: kinachotokea ni kubadilishana taarifa za miamala na zote hizi zinakuwa regulated na BOT/Central Bank.
 
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?

Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu. Hawahangaiki hata kuchapa pesa kama benki kuu, wanachapa tu codes, tunakopeshana keshi wenyewe halafu wanadaka faida!

Bonge moja ya business. Ukiangalia hata mtu akishindwa kulipa wao hawawezi kupata hasara.
Hicho kiasi unachokopesha kiko backed na pesa halisi kwenye bank. Usidhani hiyo digital float haiko backed na kiasi fulani cha pesa. Ndiyo maana hata wakala ili apate float ya kukutumia anaenda kwa wakala mkuu au bank ana deposite amount hiyo. Au tuseme ni kam USDT kwenye crypto.
 
Back
Top Bottom