Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
- #81
Vilaza watakuchosha sana.Kiakili nakuzidi mbali sana usijitutumue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilaza watakuchosha sana.Kiakili nakuzidi mbali sana usijitutumue
Ila wewe ni mbishi hatariAlidunduliza mtaji akafungua uwakala.
[emoji123][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Hii sayansi ndio ambayo hutumika:-
Unapoweka fedha halisia 'bank' au kwenye mihamala, ile fedha inageuzwa kuwa 'digital', na unapotaka fedha halisi, ile digital inageuzwa kuwa fedha halisi ''physical money'' kwa kile kiwango utakachotaka kutoa.
Kwa hiyo unapoomba mikopo mitandaoni, ina maana wao wanabadilisha zile fedha zao kuwa digital, ndipo wanakupatia; ila kiuhalisia lazima wao wawe na pesa halisia, noti.
Mwamba bado ameachwa nyuma kidogo, ingekuwa ni codes tu watu wengi wangeweza kutengenezaNi namba tuu wakati inaenda kutolewa mtu anachukua cash
Elimu za watu hizo
Huenda alkua hajui hili 😄😄😄Mkuu, mambo sio rahisi hivyo 😂😂😂 huwez kopesha pesa ambayo huna,
Pia hizo songesha na wenzake ni njia tu,
Kuna bank hapo nyuma yao,
Eg Songesha ni TCB na FINCA hio
Huyo kijana ovyoo sanaa🤣🤣🤣kama anadhani wakala ndo anamkopesha bhasi wakala ampe hela bila kutoaaaDuuh wewe jamaa unazingua.Kwani unapotoa pesa, wakala anajua ni pesa ya songesha? Hujui kuwa anaejua ni pesa ya songesha ni wewe mtoaji tu? Iwe mgodi , mpawa, songesha, akiba tu yako n.k lakini unapotoa pesa lazima ikupeleke kwenye menu ya M.pesa, tigo pesa n.k . Wakala kama hana salio la kutosha hauwezi kutoa hela bila kujali hiyo hela unayotoa ni songesha au la. Sasa unafikiri yeye wakala salio lake analitolea wapi kama hakununua hilo salio kwa cash ?
We jamaa mbona kichwa ngumu sana ukikopa shongesha pesa inatoka kwao inaingia kwenye namba yako uwe tigopesa mpesa airtelmoney au halopesa wewe uliyokopa ndio unaenda kutoa kwa wakala pesa ambayo ipo tayari kwenye simu yako ni logic simple tu mimi siwezi kukutumia hela wewe ambayo sina kwenye akaunti yangu ndio mana hata wakati wa kulipa deni lako humlipi wakala unalipa kwenye lipa namba ya shongesha na huwezi kulipa kama huna hela kwenye akaunti yako na wao hawawezi kukukopesha kama hawana hela kwenye akaunti yaoWakala anaingiaje hapa? Wakala ananunua float kwa pesa zake. Anavyoenda kuibadili kuwa cash ni pesa yake anaibadili.
Sasa wewe unakopa Songesha lakini unaenda kuchukua pesa za wakala wa simu pesa ambaye anakupa pesa yake. Huendi kuchukua kwenye ofisi za Songesha. Hivyo Songesha wametoa mkopo bila kutoa pesa.
Swali analouliza OP ni la msingi sana kiuchumi. Na limeumiza vichwa vya wasomi hadi wengine wametoa conspiracies.Huu uzi umenifanya nicheke sana maana siamini ninayo yasoma humu.
Hawa wanaungana na mtoa uzi kutetea hoja yake kama sio wanafunzi wa kidato cha pili Nanjirinji sec school na okatokea ni watu wazima basi nchi hii itakuwa na wananchi wenye uelewa mdogo sana
Naam ndio maana kuna insuarance na kuna wakati benki zinakufa...., ila walishafanya hesabu ya wangapi huwa wanatokomea, na sababu Bongo Afrika wengi wanatokomea ndio maana Riba ni kubwa (Ku offset risks) kwahio wale wanaotokomea wanalipiwa na faida za wale wanaolipa na bado mara nyingi Benki inabaki na faida...Tufanye hiyo elfu kumi umetokomea nayo hujalipa, waliokukopeshaje wataipata vp hy pesa ambayo ww umeipata physical.?
We nae, hiyo msg unayotumiwa ya songesha inapunguza akiba Yao , mfano Voda Wana akiba ya shilling elf 10 waliopata Finca microfinance kwaajili ya songesha, uki songesha 1000 wanakutumia msg lkn wao wanabaki na 9000 jaribu kuelewaNini kiwazuie wakopesha mitandaoni kukukopesha pesa ambazo hawana? Maana wanakuandikia mkopo lakini keshi unaenda kuchukua kwa wakala. Wao hawatoi hata mia.
Mkuu wala usishangae ujinga wa wananchi ndio mtaji wa watawala wetu.Ukisoma baadhi ya Comments humu unaweza kuona ni kwa namna gani kuna wajinga wengi mtaani
Sasa jiulize kwa nn zinakufa then linganisha na alichokiandika mtoa mada ndio utajua unapokopa bank, songesha, mgodi n.k wao wanatoa pesa physical Ila Kwako inakuja kama soft-money mana kilichowaunganisha mpaka ukapata mkopo n simu/akaunti na sio kwamba umepewa mkopo mkononi.Naam ndio maana kuna insuarance na kuna wakati benki zinakufa...., ila walishafanya hesabu ya wangapi huwa wanatokomea, na sababu Bongo Afrika wengi wanatokomea ndio maana Riba ni kubwa (Ku offset risks) kwahio wale wanaotokomea wanalipiwa na faida za wale wanaolipa na bado mara nyingi Benki inabaki na faida...
Kama Benki zikifeli basi Kodi zetu kama wananchi ndio tutatoa ili kunusuru hizo Benki (They are too Big to fail) kama yaliyofanyika USA wakati wa credit crisis....
Hio ndio Capitalism 2.0 (Ni Socialism in disguise) wakipata faida ni wao wakipata hasara ni wananchi
View attachment 3010821
NakubaliKiakili nakuzidi mbali sana usijitutumue
Sasa kwann hy 1k isiwe hamna kitu kama mada yako ulivyoiweka?Ukisongesha 10k unaenda kuchukua kwa wakala 10K. Wakati wa kulipa labda unalipa 11K. Hiyo elfu moja inayoongezeka ndiyo faida inayozaa hizo 500m
M nakopamkpaka laki 5 mkuu tigoHivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu. Hawahangaiki hata kuchapa pesa kama benki kuu, wanachapa tu codes, tunakopeshana keshi wenyewe halafu wanadaka faida!
Bonge moja ya business. Ukiangalia hata mtu akishindwa kulipa wao hawawezi kupata hasara.
Moja kwanza mimi nimeongea zaidi ya mada ya mto Mada, sababu mtoa mada kuna vitu vingi (premises ambazo ameweka amekosea) anadhani hio biashara ni Mitandao per se kumbe mitandao inatoa platform na kisheria hairuhusiwi kufanya kila kitu lazima kuwe na Bank inayosimamia hayo mamboSasa jiulize kwa nn zinakufa then linganisha na alichokiandika mtoa mada
Benki wana pesa zao (ingawa wanaruhusiwa kukopesha zaidi ya pesa walizonazo (call it overdraft) mitandao pia inalazimishwa kisheria pesa zao / za wateja wachague benki ya kufanya nao kazi ili wao ndio waweze kuzitunza / kuzimanage....ndio utajua unapokopa bank, songesha, mgodi n.k wao wanatoa pesa physical Ila Kwako inakuja kama soft-money mana kilichowaunganisha mpaka ukapata mkopo n simu/akaunti na sio kwamba umepewa mkopo mkononi.
Usichukulie serious mkuu. Kila mtu ana nafasi kwenye sekta yake, hata mimi kwenye mitambo ya mawasiliano unanizidi uelewa.Nakubali
🤝Usichukulie serious mkuu. Kila mtu ana nafasi kwenye sekta yake, hata mimi kwenye mitambo ya mawasiliano unanizidi uelewa.