Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Silicon valley sio watu walitoa pesa kwa pamoja, walinunua bonds za serikali kwa pesa za watu na mda huo powell kapandisha riba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika...
Haya ni mambo ya kitaaluma sio ushabiki wenu wa kindezi.Hawapendi hizi habari wanapita kimyakimya, time will tell
Tupe huo utaalamu unao ujua wewe Mkuu.Haya ni mambo ya kitaaluma sio ushabiki wenu wa kindezi.
Yapi hayo ?Haya ni mambo ya kitaaluma sio ushabiki wenu wa kindezi.
Na Silvergate nao walinunua Bondi za serikali kwa Fedha za watu?Silicon valley sio watu walitoa pesa kwa pamoja, walinunua bonds za serikali kwa pesa za watu na mda huo powell kapandisha riba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
.Haya ni mambo ya kitaaluma sio ushabiki wenu wa kindezi.
Umesema bank za marekani lakin umeishia kutaja bank moja nilitegemea hata utataja bank kama 5 hiviWiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.
Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Una ubongo mchanga sanaWanaoiombe U.S.A mabaya hawajielewi zaidi ya umburula na udini ulioletwa na mwarabu, na hao waarabu wenyewe ni wabaguzi ata wao kwa wao utasikia...
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,piga kimya ili usijulikane kua hujui kitu kisha jifunze kupitia wengine,achana na issue za udini hapa sio mahala pake.Wanaoiombe U.S.A mabaya hawajielewi zaidi ya umburula na udini ulioletwa na mwarabu, na hao waarabu wenyewe ni wabaguzi ata wao kwa wao utasikia...
Hili nalo akalitazame[emoji1787]Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,piga kimya ili usijulikane kua hujui kitu kisha jifunze kupitia wengine,achana na issue za udini hapa sio mahala pake.
Nafikiri hilo likafanya balance za benki zisikae sawa. Lakini bado ikawa imesimama. Watu waliposikia vitabu vya benki havipo sawa wakakimbilia kutoa pesa zao, hilo ndilo likaleta kufilisikaSilicon valley sio watu walitoa pesa kwa pamoja, walinunua bonds za serikali kwa pesa za watu na mda huo powell kapandisha riba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii inakwambia na wewe kama una pesa zako benki zitowe.Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.
Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Shida ni kuwa kitu kama hiki kinaweza sababisha msululu wa bank runs. Na benki hata iwe stable vipi, haiwezi kustahimili hii kitu.ile ilikuwa a classic case ya bank induced panic, walipotoa news kuwa wanataka cash injection from equity markets , hedge funds nyingi zilitoa pesa haraka kupelekea collaspe ya benki.
Ila dont read too much into it, isipokuwa credit suisse , all major banks za dunia i.e Jp morgan , BOA , Goldman sachs ukiangalia reports za financial stress tests na liquidity ratios vs leverage portfolio zao wako sawa currently .
Ila risks to tier 2 banks and below bado zipo