Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Uchumi wa Marekani ukitetereka na uchumi wa dunia unazubaa vilevile. Great economic depression ilitokea miaka ya 1920, mdororo wa uchumi 2008 ulianzia kule. Ingetokea COVID-19 ikaanzia Marekani uchumi wa dunia ungeyumba zaidi.
 
Na Silvergate nao walinunua Bondi za serikali kwa Fedha za watu?
Na pia kiasili bonds za serikali ni uwekezaji salama zaidi wa kifedha. Ni kama risk free. Wengi wanawekeza huko, tungeona mabenki na taasisi nyingi zikianguka. Sidhani kama benki inaweza pata shida sababu ya kununua bonds.
 
Uchumi wa Marekani ukitetereka na uchumi wa dunia unazubaa vilevile. Great economic depression ilitokea miaka ya 1920, mdororo wa uchumi 2008 ulianzia kule. Ingetokea COVID-19 ikaanzia Marekani uchumi wa dunia ungeyumba zaidi.
Kweli. Great depression ya 1929 na 1930's mwanzoni ilisababisha hadi bei ya kahawa duniani kuporomoka. Miaka hiyo ya 1930's wakulima wa kahawa Kilimanjaro waliriot na kuzua vurugu kubwa wakidai chama cha ushirika kinawaathiri. Kumbe shida imeanzia huko mbali USA.
 
Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.

Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Ule mdororo wa kiuchumi mwaka 2008 ulianzia kwenye mabenki....

Ila uchumi wa kibepari una sifa hizo yaani kuanguka kwa taasisi za fedha hutokea.
 
Shikamoo Putin na wenzako mlio form BRICS - the beginning of the end ya mfumo wa wenzetu kifedha/ kiuchumi ndio unaanza kujongea taratibu kwenye meat grinder ya kigeuziwa kibao - hawata amini macho yao.
Wewe na mwenzako Mathanzua mlitakiwa muwe kwenye kituo cha matatizo ya akili. Vitu mnavyoviweka hapa jukwaani ni kama mko kwenye reality yenu peke yenu.
 
IMG_20230313_233623.jpg
Investors ndio watakosa pesa
 
Silicon Valley Bank's customer withdrawal made history.

$42 billion was withdrawn Thursday.

That's $4.2 billion an hour.

Previous largest bank run in modern U.S. history was Washington Mutual bank in 2008, and totalled $16.7 billion over 10 days.

History is being written.
Inafahamika kama Bank Run.naona kuna mtu alisema sio bank run
 
Silicon valley sio watu walitoa pesa kwa pamoja, walinunua bonds za serikali kwa pesa za watu na mda huo powell kapandisha riba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silicon Valley Bank's customer withdrawal made history.

$42 billion was withdrawn Thursday.

That's $4.2 billion an hour.

Previous largest bank run in modern U.S. history was Washington Mutual bank in 2008, and totalled $16.7 billion over 10 days.

History is being written.
Unakataa kuwa sio bank run. Watu waliend kutoa fedha nying kwa mbio mbio
 
Back
Top Bottom