Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Silicon Valley Bank's customer withdrawal made history.

$42 billion was withdrawn Thursday.

That's $4.2 billion an hour.

Previous largest bank run in modern U.S. history was Washington Mutual bank in 2008, and totalled $16.7 billion over 10 days.

History is being written.
Unakataa kuwa sio bank run. Watu waliend kutoa fedha nying kwa mbio mbio
Watu wanatoa billion 10 kwa lisaa 🤣🤣🤣 ndani ya masaa kumi watu wame draw billion 100 kudadadek bank lazma i collapse. 🤣🤣🤣
 
Eeh wanaenda kuweka bonds hela zenu zinazaana tu huko zile faida za magawio ya kila mwezi ndo mishahara inalipwa, kodi zinalipwa na mikopo inatolewa 😀😀😀!

Ukiondoa mfumo wa hatifungani hakuna bank itabakia salama 🤣 kwa kutegemea riba za mikopo tu.

Ni ngumu sana kusimama kibiashara ukiwa una single source of income. Fatilia hilo kwa makini, relate na biashara zetu ndogo ndogo hizi kisha utakuja kunielewa vyema.
Nilikua cjui aisee ,ila ndo ivo hatuna namna 😅
 
ile ilikuwa a classic case ya bank induced panic, walipotoa news kuwa wanataka cash injection from equity markets , hedge funds nyingi zilitoa pesa haraka kupelekea collaspe ya benki.

Ila dont read too much into it, isipokuwa credit suisse , all major banks za dunia i.e Jp morgan , BOA , Goldman sachs ukiangalia reports za financial stress tests na liquidity ratios vs leverage portfolio zao wako sawa currently .
Ila risks to tier 2 banks and below bado zipo
Haya ni maneno ya media za magharibi, ukitaka kusikia ukweli tazama RT ya Russia au CGTN ya china. Marekani uchumi wake upo matatani kila mtu mwenye ufahamu na uelewa mzuri wa mifumo ya kiuchumi hili atakuwa ameshaliona.
 
Watu wanatoa billion 10 kwa lisaa 🤣🤣🤣 ndani ya masaa kumi watu wame draw billion 100 kudadadek bank lazma i collapse. 🤣🤣🤣
Ivi mfano bank ikifirisika na ikataka kuanz upya Kuna uwezekano wa kutoa riba asilimia kubwa mwanzoni ili watu wawekeze ?
 
Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.

Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Wamarekani wengi hawajui principles za biashara, hasa biashara za mabenki,
Nawashauri waje Tanzania ili kuepukana na hasara za kijinga jinga.
 
Gram moja ya gold inacheza kwenye laki moja na sabini huko. Kununua gold inataka uwe na moyo sana. Gold tamu ni ile ya bure au ya wizi maana itakulipa vizuri sana.
Hahahah noma, na Gold ya bure utaipataje bila kwenda kulinda amani congo 😀😀😀
 
Na pia kiasili bonds za serikali ni uwekezaji salama zaidi wa kifedha. Ni kama risk free. Wengi wanawekeza huko, tungeona mabenki na taasisi nyingi zikianguka. Sidhani kama benki inaweza pata shida sababu ya kununua bonds.
Jamaa walinunua bonds kwa usiri at the same time, Federals wameongeza interest rate ya mabenki jambo ambalo huwa lina athiri sana mitaji.
 
Sahihi. Ila kutoa pesa nako ni sehemu ya tukio maana walihofia sasa watafelisha pesa zao.
Watatoa fedha zisizo na faida ni kupoteza mda ,ni heri wangewekeza kwenye kilimo na ufugaji
 
Ina Maana ukiweka Ela bank mfano fixed account ama liquid mfano UTT wao wanaenda kuzibond serikalini?
ndio wanaweza kununua bonds , meaning kwa shillingi yako at 6% interest they earn roughly shillingi tano plus interests , banks make money by multiplying your own deposits, mfano unaenda benki unaweka sh200000 , mmeaning on paper they have debt equivalents za sh 2000000 kutoka kwa pesa zako ww , ukikopa watakupa kulingana na deposits zako , na wankucharge interest , kama sio wizi wa wazi ni nni hicho.
sema katika shule nyingi hata za accounting watu hufunzwa kuhusu accounts tu , ila the creation and cycle of money ni somo limefichwa ,wengi wangejua revolt ingefanyika .
 
Uchumi wa Marekani ukitetereka na uchumi wa dunia unazubaa vilevile. Great economic depression ilitokea miaka ya 1920, mdororo wa uchumi 2008 ulianzia kule. Ingetokea COVID-19 ikaanzia Marekani uchumi wa dunia ungeyumba zaidi.
Kwa sasa uchumi wa dunia unategemea zaidi bara la Afrika hususani hapa Tanzania.
 
ndio wanaweza kununua bonds , meaning kwa shillingi yako at 6% interest they earn roughly shillingi tano plus interests , banks make money by multiplying your own deposits, mfano unaenda benki unaweka sh200000 , mmeaning on paper they have debt equivalents za sh 2000000 kutoka kwa pesa zako ww , ukikopa watakupa kulingana na deposits zako , na wankucharge interest , kama sio wizi wa wazi ni nni hicho.
sema katika shule nyingi hata za accounting watu hufunzwa kuhusu accounts tu , ila the creation and cycle of money ni somo limefichwa ,wengi wangejua revolt ingefanyika .
Na ndio maana wenzetu wenye knowledge ya jinsi hela inavyotengenezwa wana maamuzi mazuri sana na matumizi mazuri ya muda 😀😀😀...

Kwetu si mradi umekula umeshiba siku imeisha unalala unaamka kesho.
 
Bima hata uwe na Bilioni 10 utapewa 1.5mil tu
Ref FBME ambayo ilikuwa Bank Tajiri enzi hizo
Hahahahahah Bima ya Bongo hio. Sishangai sana maana hata ya gari tu ukikata comprehensive ya laki 7 ili ulipwe gari nzima ya 15M unaweza shangaa utatakiwa uhonge 2M na ukilipwa sana basi utakula 9M 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom