Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Benki za Marekani kufeli ni ishara ya nini?

Haya ni maneno ya media za magharibi, ukitaka kusikia ukweli tazama RT ya Russia au CGTN ya china. Marekani uchumi wake upo matatani kila mtu mwenye ufahamu na uelewa mzuri wa mifumo ya kiuchumi hili atakuwa ameshaliona.
hizo ni propaganda tu za urusi , the US cotrols 20% of the worlds economy and its the largest net importer duniani , banki kuu za nchi nyingi huweka reserves zao in USD, urusi hata hapa bongo , US ikicollapse uchumi mzima wa dunia unaisha , hata europe inazima kabisa .
China yenyewe about 3/4 of their exports zinaenda western countries.
Bila marekani and the dollar global order hamna uchumi wowote duniani and as it stands hakuna alternative , china yenyewe uchumi wao umeslow down sana na deni limekuwa huko sana .
Uchumi kila kona duniani upo pabaya ila the US still remains very dominant in trade
 
Asilimia 13% mbona inahitaji mpunga mrefu kuiona faida ila ni Bora UTT kuliko kuizika bank wanaokata makato ukitoa na kila mwezi
Hahahah eeh kule unaweka angalau B1 ndio utafaidi matunda ya mpunga mrefu kidogo.
 
Asilimia 13% mbona inahitaji mpunga mrefu kuiona faida ila ni Bora UTT kuliko kuizika bank wanaokata makato ukitoa na kila mwezi
Ukiweza kuweka 1B una uhakika wa kuvuta 13M kila mwezi ukiwa umelala tu kwa miaka 20 au zaidi 😀😀😀
 
Ukiweza kuweka 1B una uhakika wa kuvuta 13M kila mwezi ukiwa umelala tu kwa miaka 20 au zaidi 😀😀😀
Kaka😅😅😅 si unaacha kazi za kitumwa kabisa Sasa iyo 1B tunaokotea WAP kwa mfano
 
Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.

Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Economic Slump?!! The great Depression in the way?!🤔
 
Haya ni mambo ya kitaaluma sio ushabiki wenu wa kindezi.
Wengi ni huwa hawajui mambo yanspotokea.
Hawaelewi kuwa mwaka 2008 bank zaidi ya 300 zlipitia hali hiyo na bado nchi hiyohiyo iliimarika zaidi, leo bank mbili tu watu wanapishana na vi comment uchwara utadhani wameahidiwa kupigwa mjegeli.
 
ndo kiinua mgongo ulikipeleka kwenye kununua hisa hapo..

utaimba lugha zote *****..
Wastaafu wenye utajiri na annual income kubwa wanawekeza kwenye hedge funds, mtu anaweka hedge fund inatawanya risk kisha unakuta yenyewe hapo imeweka kama 2% ya mtaji wake kwenye benki moja iliyofeli. Kibongobongo tufanye badala ya mtu kuweka hela zote TBL au Twiga anaweka UTT Amis inatawanya pesa uko (ingawa UTT wamekaa kishamba na kienyeji)

Si rahisi mtu astaafu awekeze hela sehemu moja yenye risk kubwa. Mara nyingi wastaafu hawatarajii faida kubwa mradi hela ikae na iwe na marejesho kiasi fulani.
Tofauti na hapo, mstaafu wa hela ya kawaida kule duniani atanunua hisa kampuni tofauti zinazofanya vizuri
 
[emoji298]️“The managers of the banks will be fired, Biden noted, and investors will lose money.”

'They knowingly took a risk, and when the risk didn't pay off his adjusters lose their money. That's how capitalism works,' Biden said
 
Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.

Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Uchumi wa dunia uko kwenye Recession
 
Wiki iliyopita Benki ya Marekani Silicon Valley Bank ilipatwa na bank run(watu wengi kutaka kutoa pesa benki kwa pamoja) na kupelekea kufilisika. Tena benki ya pili, Silvergate, imepatwa na kitu kama hicho.

Haya mambo yanaashiria nini? Tujipangaje?
Kuna nyingine ya tatu jana FDIC waliitake over ,ni ya newyork ,inaitwa Signature bank nayo imefilisika pia , kiufupi banks ni pyramid schemes ,Leo hii watu wengi wakikosa vonfidence na wakata kwenda kutoa pesa zao ,benki inafilisika na wengi hizo pesa hawatapata ,so ni hivyo ,ndio kilichotokea kwenye hayo mabenki.
Nunueni dhahabu na silver ili kuhifadhi pesa zenu , kwanza hizo ni inflation hedge , haziathiriki na mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya fedha wazungu ,wahindi ,waarabu ,wachina wote wanafanya hivyo , sisi tumezubaa tu na haya makaratasi (worthless ) pieces of paper ambayo muda wowote yana looose value
Financial and economic depression inayokuja ni balaa
 
Back
Top Bottom