Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

Wewe umefuata huduma za kibenki hapo twaini. kama hauwezi kukaza tumia app, wakala au hata ATM.
 
Masikini bwana

Umasikini huu utatusumbua mpaka lini?

Yaani masikini thinks he is entitled to anything government says!

Government yenyewe imeshindwa wawekea vyoo kwa kodi zenu wenyewe halafu unanifata mimi private company nikuwekee choo sababu kuna mla unga mmoja huko serikalini kasema?

Masikini hudhani chochote serikali inachoongea basi ni "haki" yao.....fvck y'all!
 
Ukiweka Choo utapata yafuatayo:-
  • Wateja wengi wa Choo kuliko wa Benki - Na ukizingatia hii huduma pia ina-changamoto zake utajikuta pesa yako nyingi unaelekeza kwenye Choo (au utaanza kuchaji na vyoo vipo wapi; harufu isije fukuza wateja wako)
  • Hakuna Sheria inayolazimisha waweke choo, kama vile migahawa
  • Muda wako kwenye Benki unatakiwa uwe mfupi iwezekanavyo; hakuna sababu ya kuuongeza
  • Je kuweka kwao vyoo kutaongeza wateja ? (Sidhani kama utakwenda Benki fulani sababu kuna vyoo sanasana utakwenda pale kupata huduma ya Choo na sio ya Pesa) mteja ambaye sidhani kama Benki ina shida nae...
 
mwalimu anatoka Makete kuja Njombe mjini NMB kuchukua mshara, ametumia masaa 5 kwa basi anafika benki saa 4 asubuhi kwenye foleni gogo linamkamata, unataka akakate hapo mnapokula kiti moto?
Wewe unaongelea mtu akate gogo kwake kwakuwa unaishi Dar es salaam?
hiki kizazi kila hoja inayoletwa ya kitaifa mnaichukulia kwa angle ya mtu anayeishi Dar es salaam.
 
WTF, wewe unajua ninaweka fedha yangu benki ?
Unajua Benki wanaikopeshea watu na wanapata faida kwa hela yangu?
Unajua Benki wanawekeza na kupata faida kubwa kwenye fedha yangu?
Unajua Bila mimi mteja, hata tukiamua kesho asubuhi kila mtu akitoe /funga akaunti yake kwenye benki yeyote siku hiyo hiyo benki inafiliska?
Unajua Bila mteja benki hakuna?
 
VYOO HAVIKO NDANI YA OFISI YA BENKI
VYOO VIPO NDANI YA MAJENGO AMBAYO BENKI ZIPO

ova
 
Wewe ni mteja gani hasa mpaka unajitia kutoa maneno ya shombo namna hii?

Una vijihela vichache,hujui nini cha kufanyia,tunavichukua na kuwapa wafanyabiashara wafanyie kazi watupatie interests!

Tunakuwekea fedha yako,maana huna pahali pa kuziweka

Una hela chache,huna maana,unachuchafulia miundo mbinu yetu,toa hiyo hela kaweke chini ya godoro!

Unajua unatumia resource kiasi gani kwenye mifumo yetu kuangalia tu balance ya vihela vyako?Ni hasara tupu!

Wateja ni makampuni,organizations,etc,sio nyie wananchi masikini,njooni chukueni vijisenti vyenu kunuka!
 
Wewe umeendelea kweli!!!
 
Wewe umeendelea kweli!!!
Unamaanisha kuendelea kiaje? Kama ni maendeleo ya kifedha niko vizuri mimi ni mmoja ya wauzaji maarufu wa majeneza hapa Dodoma biashara yangu imenipa mafanikio sana na vihela vidogo vidogo sio ishu kwangu.
 
Maji ndio njia salama kabisa ya kujitawaza ndio maana tunapisha na watu mnanuka mavi kumbe mnatumia toilet tuu kujitawaza , ile ninkwa ajili ya kujikausha ukisha jiosha na maji
 
Maji ndio njia salama kabisa ya kujitawaza ndio maana tunapisha na watu mnanuka mavi kumbe mnatumia toilet tuu kujitawaza , ile ninkwa ajili ya kujikausha ukisha jiosha na maji
Kongole, anzisha uzi ufundishe vijana wa Dar es salaam kutawaza, yaani jitu zima unakuta linanukia choo, limejifuta na tissue badala atumie maji na tissue ni kujifuta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…