Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

Asa na ww peni ya 200 unalilia ya nn akati una milion 20 huoni ww pia unatatizo?
I'm not crying, ila wana-onyesha namna hawaniamini, mimi nawapa 20 milions, wao wananipa kikaratasi kimoja ila wao wana kalamu ya 200 wanaifunga na kamba nisiibe.
 
Wabongo na Ulalamishi ni hivi.
Vyoo vipo na vinawatosha wateja, ni wewe na uwoga wako wa kuuliza kilipo choo.
Hakuna jengo litajengwa bila kuwa na Vyoo as per matumizi yake.
Choo [haja kubwa na ndogo ni faragha, lakini pia choo sisi akina mama tunabadilishia huko PEDI, je itakuwa sahihi kila mara kwenda kumuuliza mlinzi wa kiume ?]
Unapo muuliza mlinzi kilipo choo huoni hata mawazo yake na hisia anaanza kuzilekeza kwengine?

#Wake Up Stand Up for your right!
 
Sababu ni mgeni lazima Uulize, ila vyoo vipo.
Ulitakaje?
Vijengwe pembeni kama vyoo vya Shule?
 
Umembiwa huyo naibu waziri mkuu ameteuliwa kwa kazi hiyo?
Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote.

Naomba sasa Naibu Waziri Mkuu Tusaidie kuwaomba Hawa mameneja WAJENGE VYOO VYA WATEJA wa mabenki lakini pia waache tabia ya kufunga kamba kwenye kalamu pale counter: Haiwezekani napeleka milioni 20 na ninakuachia kwa kunipa kikaratasi tu ila wewe huniamini kwa kalamu ya shilingi mia tu.

Bank of Tanzania , ambaye ndiye msimamizi mkuu wa mabenki tunaomba kabla ya leseni za mabenki kutolewa, ukaguzi ufanyike na kitu cha kwanza iwe Choo cha wateja.
 
hawaweki vyoo kwa sababu za kiusalama!!!,,,,mtu akiingia chooni, anaweza kujifungia muda mrefu na kupanga uhalifu,,,kwani m2 akiingia chooni habugudhiwi!!
 
Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote.

Naomba sasa Naibu Waziri Mkuu Tusaidie kuwaomba Hawa mameneja WAJENGE VYOO VYA WATEJA wa mabenki lakini pia waache tabia ya kufunga kamba kwenye kalamu pale counter: Haiwezekani napeleka milioni 20 na ninakuachia kwa kunipa kikaratasi tu ila wewe huniamini kwa kalamu ya shilingi mia tu.

Bank of Tanzania , ambaye ndiye msimamizi mkuu wa mabenki tunaomba kabla ya leseni za mabenki kutolewa, ukaguzi ufanyike na kitu cha kwanza iwe Choo cha wateja.
Unakwenda benki kuweka pesa siyo uharo. Ukienda benki hakikisha umevaa pampers.

Punguani wahed.
 
Kwan wewe umefata kunya au huduma za kibenk? kakojoe nyumban kwako halafu urud uanze folen upya
Dah! Meneja punguza jazba basi kwa sisi wateja wako.

Halafu mnapenda sana kutuweka kwenye foleni eti. Unakuta benki ina madirisha 4, lakini yanayotomika unakuta ni 2 tu. Mengine wahusika wanazunguka zunguka tu kitoka chumba kimoja kwenda kingine!!

Hii tabia nayo inakera sana.
 
Back
Top Bottom