Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kibondo kuna benki?Dunia nzima mpaka wapi? Mbona huku kibondo tupo shwari
NO, Kuna sehemu za kuficha helaKibondo kuna benki?
Hauko salama pia ,Aiseee noma sana ,wenye hela bank wameumia ,mimi naweka kwenye Simu.
we zwazwa kweli...🤣Aiseee noma sana ,wenye hela bank wameumia ,mimi naweka kwenye Simu.
we zwazwa kweli...🤣
Unakazwa kizimkazi?Acha uzushi, dunia nzima labda ya kizimkazi!
it's fucking same system babuu! ushaambiwa IT sasa simu hazihusiki na IT...??Sasa hela zenyewe za mkaa na kudunduliza afutatu tatu ndiyo niende kuweka BANK?
Acha uzushi, dunia nzima labda ya kizimkazi!
Kuna services Stanbic sizipati. Hata UTT AMIS kuna vitu haviko sawaKuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani.
Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna
Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
View attachment 3046159
Usiseme hivi 🤔Aiseee noma sana ,wenye hela bank wameumia ,mimi naweka kwenye Simu.
Kheee mpk UTT? Em nikachunguliepo 🤔Kuna services Stanbic sizipati. Hata UTT AMIS kuna vitu haviko sawa
Kila nikitaka ku access balance ya UTT ile application yao haifunguiKheee mpk UTT? Em nikachunguliepo 🤔
Noma na nusu.. sasa kama mtu hana hata mia cash zote ziko bank anafanyaje leo?Kuna services Stanbic sizipati. Hata UTT AMIS kuna vitu haviko sawa