Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

Mpesa inawork..nmejaribu kuangalia salio
Mpesa ina work lakini ukihisisha Simbnking utatoa fedha vizuri, lakini message ya Benki unaweza kuipata after 3 hours au next day
 
Jana nilitoa hela through simbanking
Sms ikaja mara 2. Haiwezi kuwa imetoka mara 2?
Kahakikishe kwa kuangalia salio, mimi nilipokea msg mara mbili NMB kuangalia nikakuta salio limekatwa mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…