Benpol hapa umepotea, huu sio uanaume

Kuna haja yakuanzisha operation maalumu ya kuokoa jukwaa pendwa hili [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Skuizi hakuna ubuyu, hakuna dai vs kiba...... Etc
Lianzishe basi nami nitafuata! Sema dah, sijawahi kukuona ukianzisha mada hapa jamvini....
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwa ubuyu wewe nishakushindwa. Karibu pm upo mwingiiiiiii [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Mungu hajanipa kipaji cha kuandika aiseee....
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwa ubuyu wewe nishakushindwa. Karibu pm upo mwingiiiiiii [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hehehe wewe.... Najaaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Tayari ipo kwny page yake ya Instagram na mpaka Leo hajakanusha popote
 
Eti kuna wasanii wanajiuza
Waliopoteza marinda[emoji445]
Mnasema[emoji441]

WAPO[emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…