Pre GE2025 Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Pre GE2025 Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Patriot missile

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2024
Posts
280
Reaction score
423
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.

Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini au anatumiwa na CCM kufanya hivyo kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.

Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.

Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
 
Kigaila Katibu Mkuu wa Mbowe ajae amemshambulia vikali Bwana Lissu kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini.

Kwambali naona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu.

But Press ya Lissu kule Singida ndio imezaa matunda na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea
Huyo Benson Kigaila ni pandikizi la CCM, hamna kitu ni Mtu anayestahili kupuuzwa mtu mwenye mihemko kupita maelezo!!

Hiyo hamna kitu ndiye ambaye anaharibu sana chaguzi za kanda, rejea kanda ya kusini.

Intelligence ya CHADEMA ingekuwa smart kama zamani, ingejua RANGI HALISI ya Singo Kigaila, mwakani baada ya general election KIGAILA atakuwa amemfuata Peter msigwa.

Mshenga wa hii ndoa no Mke wake KUNTI MAJALA, kupitia waziri flani wa KIKE.

Kifupi Singo Kigaila Benson anapaswa KUPUUZWA maneno yake, ila anapaswa kuangaliwa kwa jicho pekenyevu ndani ya CHADEMA.

Yupo kwenye payroll ya SERIKALI.
 
Mbowe haitakii mema Chadema. He has overstayed as chairman as such he has nothing new to offer!

Kwanini hafuati mfano wa watangulizi wake mkwewe Edwin Mtei na marehemu Bob Makani ambao waliomgoza kwa muda na baadae kupisha wengine kuongoza.

Ccm kuelekea kwenye uchaguzi watawasambaratisha viongozi wa Chadema kwa kupanda sumu kati yao kiasi kwamba wakifanikiwa Chadema will be very weak to contest both the local and general elections next year!

Mbowe is a ccm MOLE!😭
 
Kwani CHADEMA bado ipo?
Ni ile ambaye mlikusanya Askari polisi Toka mikoa mbalimbali ya Tanzania,kuzuia mandamano yao.

Kwahiyo umepata jibu kama ipo au la.

Kama haipo wale Askari na makamanda waliowatuma watakuwa walikuwa VICHAA, kuzuia mandamano ya kitu ambacho hakipo.

Hongera sana mkuu KWA KUCHAGUA UJINGA!!!

🤔🤔
 
Sisi kama CCM tunamuunga mkono Kigaila na Mbowe.

Hawa ni viongozi shupavu wa upinzani.

Lissu ni msaliti ndani ya CHADEMA na anafaa kufutwa uanachama.
 
Mbowe haitakii mema Chadema. He has overstayed as chairman as such he has nothing new to offer!
Kwanini hafuati mfano wa watangulizi wake mkwewe Edwin !😭
Acha unafiki. Mbowe ni mwenyekiti bora ila anapaswa kumfukuza Lissu kwa usaliti anaoufanya.
 
Sisi kama CCM tunamuunga mkono Kigaila na Mbowe. Hawa ni viongozi shupavu wa upinzani. Lissu ni msaliti ndani ya CHADEMA na anafaa kufutwa uanachama.
Kama SAMIA anavyotakiwa kwenda Kizimkazi mwakani akalee wajukuu!!

Kabakiza miezi kumi, wenye CCM yao WANMFUNGIA JINI KWENYE CHUPA NA KUMTUPA BAHARINI MKONDO WA NUNGWI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀🤣🤣🤣🤣🤣😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata CCM tunamkubali sana Mbowe na Kigaila. Huyu Lissu sio mzalendo.
Lissu is a genuine opposition leader unlike Mbowe who uses his chairmanship for personal business gain! In short he’s a conman!
He will be more respected if he relinquished the chairmanship now rather than later!
 
Lissu is a genuine opposition leader unlike Mbowe who uses his chairmanship for personal business gain!
He will be more respected if he relinquished the chairmanship now rather than later!
Nasikia Heche atamkabili vikali muda ukifika
 
Back
Top Bottom