John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.
Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.
Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.
Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
CHADEMA inahitaji mabadiliko ya haraka ya Viongozi
True.
Watu wameanza kupoteza Imani nao kwa kasi kubwa sana