MAGEMBE 4REAL
Member
- Mar 10, 2022
- 61
- 99
Siku mbowe atakapoamua kukaa pembeni basi safari ya kuitoa CCM itafika ,ila ni ngumu Sana kuiondoa CCM madarakani wakati mbowe akiwa mwenyekiti.Mbowe ni kibaraka hatari ni mfanyabiashara wa kisiasa hawa kina KIGAILA ni vifaranga tu hawana lolote la maana.Haiwezekana wagombea wa chama chako waondolewe nchi nzima halafu wewe mwenyekiti umekaa tu,kama huelewi kinacho endelea.Mbowe itisha kamati kuu ya chama ya dharura Kisha mtoke na maazimio ya kutokukubaliana na kinacho endeleo,kesho yake wagombea wote watapitishwa tu.Huyu KIGAILA ni kifaranga wa CCM ambaye anawazuga raia na wanachadema.