MAGEMBE 4REAL
Member
- Mar 10, 2022
- 61
- 99
Huyu ni pandikizi la ccm. “MOLE”.Kigaila hajawahi kuwa CHADEMA
"... Kupitia vyombo vya habari ...nk". Halafu tunatakiwa kumwamini?! Hajui maTomaso wako wengi!! Kufanya nukuu bila kuonyesha chanzo inakufanya usiaminike na jamii, waxomaji- kwamba ni uongo mtupu ...nk. Xiku nyngne onyesha vyanzo- nje ya hapo watakufananisha na chawaBenson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne wa Freeman Mbowe ajae endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara ya nne ili kuongoza chama hicho kikuu Cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.
Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.
Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.
Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine.
Na wew Kibaraka wa Lissu?Kigaila ni kibaraka wa bwana Mbowe
Ukiona ccm wanafanya hila kwenye chaguzi, ujue cdm ipo hai.Kwani CHADEMA bado ipo?
Mimi nadhani iwe hivi hivi ili iwe faida kwa chama chetu tawalaCHADEMA inahitaji mabadiliko ya haraka ya Viongozi
Kigaila kachukizwa kuona walioenguliwa wamerudishwa.....Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.
Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.
Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.
Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
🤔Mbowe haitakii mema Chadema. He has overstayed as chairman as such he has nothing new to offer!
Kwanini hafuati mfano wa watangulizi wake mkwewe Edwin Mtei na marehemu Bob Makani ambao waliomgoza kwa muda na baadae kupisha wengine kuongoza.
Ccm kuelekea kwenye uchaguzi watawasambaratisha viongozi wa Chadema kwa kupanda sumu kati yao kiasi kwamba wakifanikiwa Chadema will be very weak to contest both the local and general elections next year!
Mbowe is a ccm MOLE!😭
Siku zote chama kisipoendeshwa kitaasisi kinageuka kuwa mali ya mtu.Tokea Chadema impate katibu mkuu Dr.Wilbroad Peter Slaa ni dhahiri kabisa haijapata mtu makini kama yule tena katika nafasi hiyo hadi leo.Hao madogo akina John Mnyika wala hawajui kazi wanayotakiwa kufanya hadi sasa.Naamini watanzania wanaona na kufuatilia mambo yanavyokwenda ndani ya CHADEMA.Viongozi wanatakiwa kujitambua ,mkiwa na katibu mkuu tena ndiye mtandaji mkuu wa chama Alafu mnashuhudia ukimya uliopitiliza ujue kuna zaidi ya problem ya aina na usahihi wa watu ktk nafasi zao ndani ya Chama.Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.
Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.
Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.
Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
Lucas Hebel Mwashambwa anatakiwa ateuliwe awe DCMbowe ni bora kwa vile yuko kwenye payroll ya Samia! Wewe ni lazima chawa wa ccm ndugu ya Lucas Mwashambwa 😂😂
Wasaidieni hao waganga njaa watauwanaBenson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena chama hicho kikuu cha Upinzani kwa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa.
Kupitia vyombo vya habari mbalimbali vya ndani na nje Kigaila ambae ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA BARA amemshambulia vikali Makamu Mwenyekiti wake Bwana Tundu Lissu kwa madai kuwa hajui chochote kuhusu maandalizi ya Uchaguzi kwani hakuwepo nchini kauli ambayo imezua minong'ono miongoni mwawatu mbalimbali wakijaribu kuhoji uadilifu wa Kigaila dhidi ya ule wa Lissu ndani ya chama hicho Cha CHADEMA.
Kwambali naiona CHADEMA ikimalizikia ni swala la muda na uhai tu tuendelee kumwomba Mungu atulinde ili tushuhudie haya.
Ikumbukwe Press Conference ya Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bwana Tundu Lissu kule Singida ndio imezaa matunda chanya na kumwibua Katibu Mkuu wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi na yote yanayoendelea Sasa ambayo kwa kiasi kikubwa yameisaidia CHADEMA na Vyama Vingine vya Upinzani.
Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.Lissu is a genuine opposition leader unlike Mbowe who uses his chaimanship for personal business gain!
He will be more respected if he relinquished the chairmanship now rather than later
Kigaila ni CHADEMA damdam.Kigaila hajawahi kuwa CHADEMA
Mzee Mbowe will never relinquish Chairmanship as long he is alive.Lissu is a genuine opposition leader unlike Mbowe who uses his chairmanship for personal business gain! In short he’s a conman!
He will be more respected if he relinquished the chairmanship now rather than later!
Chadema wasomi(Lissu)vs Chadema vilaza (Mbowe,Lema)Chadema versus Chadema...........
.
Chawa namba mbili wa mzee mboweKigaila ni CHADEMA damdam.
Heche awe makini sana, Mzee Mbowe na genge lake sio watu wazuri haswa kuhusu nafasi ya Mwenyekiti wa chama.Nasikia Heche atamkabili vikali muda ukifika