Pre GE2025 Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

CHADEMA inahitaji mabadiliko ya haraka ya Viongozi

True.

Watu wameanza kupoteza Imani nao kwa kasi kubwa sana
 
Mnyika ni mtendaji mzuri tu,tatizo kafunikwa na John Mrema ambae kimsingi ndio anaefanya kazi za katibu mkuu kwa baraka ya kaka yake Mzee Freeman Mbowe.
 
Fanya ya kwako ndugu utakonda bure!!
 
Watu wasiozoea kuambizana ukweli ndio wataona kuna kugombana hapo. Lazima mkubaliane kutokubaliana kwa baadhi ya mambo na si kuburuzana. Mfano mambo ya fomu moja ya ugombea Urais ni kinyume na Katiba na ni kuburuzana.
 
Mbona kwenye kumpokea Lowasa, wakina Mnyika waliburuzwa kumkubali pasipo utayari wao ?
 
Kigaila kachukizwa kuona walioenguliwa wamerudishwa.....

Kumbe ilikuwa plan fulani amazing
Huyu ni pandikizi la ccm. “MOLE”.
Marehemu Ngombale Mwilu akiwaita hawa mapandikizi kwa jina la “ KIKULACHO”.
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Hili mimi niliwahi kuwauliza humu Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
 
Inavyoonekana Kuna mvurugano ndani ya Chadema. Kiini cha kuwepo kwa mvurugano huu huko Chadema kwa maoni yangu ni kutokana na namna Mwenyekiti wa Chama chao hicho Freeman Mbowe kukosa misimamo inayoeleweka kuhusiana na Siasa za nchi hii kwa sasa. Siyo siri hata kidogo, Mbowe akiwa Kama Kiongozi wa Chama Chao hicho, amekuwa ni mtu ambaye Hana msimamo unaoeleweka hali hii imesababisha mkwamo na kuyumba kwa Wanachama wa chama hicho.

Mbowe amekuwa ni mtu asiyeaminika tena kwa sasa ndani ya Chama Chao hicho, watu wengi kwanza wanamchukulia kama ni Mamluki wa Chama tawala ambaye amejipachika kwenye Vyama vya upinzani kwa 'kazi maalumu ya kuvuruga vyama vya upinzani' ili kukinufaisha chama tawala.

'Engine' ya treni ikiharibika mabehewa yote ya treni nayo huyumba na kusimama!
 
Sisi kama CCM tunamuunga mkono Kigaila na Mbowe.

Hawa ni viongozi shupavu wa upinzani.

Lissu ni msaliti ndani ya CHADEMA na anafaa kufutwa uanachama.
Haya ni matokeo ya kuja mjini kwa kuchelewa. Ulimjua lisu kipindi anashambuliwa na chizi Magufuli. Leo ndiyo unamuona mbowe shupavu?
Ati na wewe ni mpiga mbinja wa samia
 
Naunga mkono hoja yako hii.
 
Hakuna mchaga anaweza kufanya Jambo bila kuwa na maslahi binafsi,, Mbowe hatokaa alete mabadiliko hata siku Moja,, Chadema inapaswa kuongozwa na watu wenye karba za Heche,, mnyika,,Lissu,, au hata Luhaga mpina,,, Siyo akina Mbowe,, Lema,, kigaila,, John mrema na etal ni kupoteza muda
 
Sinimesikia wanamleta Heche kama mwenyekiti
 
Sinimesikia wanamleta Heche kama mwenyekiti
Hapa ndo wataanza kuwa na uhai,, Tangu Wilbrod Slaa aondoke Chadema hawana Agenda ya mhimu wanayosimamia,,, mwenyekiti gani unasema A Leo kesho unabadili A ya kuwa B,, non sense
 
Haya ni matokeo ya kuja mjini kwa kuchelewa. Ulimjua lisu kipindi anashambuliwa na chizi Magufuli. Leo ndiyo unamuona mbowe shupavu?
Ati na wewe ni mpiga mbinja wa samia
Kama hadi wewe unamuunga mkono Lissu...

Kuna namna Lissu anapaswa kuongeza umakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…