Pre GE2025 Benson Kigaila amshambulia vikali Tundu Lissu, asema hajui chochote kuhusu Uchaguzi sababu hakuwepo nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya ni matokeo ya kuja mjini kwa kuchelewa. Ulimjua lisu kipindi anashambuliwa na chizi Magufuli. Leo ndiyo unamuona mbowe shupavu?
Ati na wewe ni mpiga mbinja wa samia
Sisi tunasimama na Mbowe. Lissu ni msaliti
 
Namuunga mkono lisu kwa sababu ana akili!
Japo una haki ya kumuunga mkono ila namuomba awe makini na watu aina yako...

Wewe watu wako ni hawa, Mbowe, Kikwete, Kinana, Makamba na wezi wengine(siku hizi mnaitana watoto wa mjini)

Na kina Zitto Kabwe.
 
Japo una haki ya kumuunga mkono ila namuomba awe makini na watu aina yako...

Wewe watu wako ni hawa, Mbowe, Kikwete, Kinana, Makamba na wezi wengine(siku hizi mnaitana watoto wa mjini)

Na kina Zitto Kabwe.
Yesi sisi ni watoto wa mjini hatuongozwi na washamba wasiojua hata kiswahili.
Kwa msaada wako kasome makala iliandikwa " Magufuli atawaweza watt wa mjini" raiya mwema, 2016
Aliwaweza?
Yupo wapi?
Hahahaha
 
Yesi sisi ni watoto wa mjini hatuongozwi na washamba wasiojua hata kiswahili.
Kwa msaada wako kasome makala iliandikwa " Magufuli atawaweza watt wa mjini" raiya mwema, 2016
Aliwaweza?
Yupo wapi?
Hahahaha
Watoto wa mjini my foot...

Hicho kikundi mtaondoka mmoja mmoja, just wait n see.
 
Sinimesikia wanamleta Heche kama mwenyekiti
Nani anamleta Heche? Kila karibu na uchaguzi ccm hutumia mbinu za kuvuruga ipinzani!
Wameanza kwa kumnunua Msigwa na turufu yao inayofuata ni kuhakikisha Lissu anaondolewa Chadema ili asiweze kushindana na Samia mwaka kesho!! Na ccm imeisha mpa Mbowe mshiko kwa kazi hiyo.
Mbowe ni mamluki!
 
Mpuuzi huyo, yeye Kigaila na Lissu nani muadilifu? Lissu mke wake ni Mbunge wa mchongo huko kwenye bunge la hovyo la CCM?
CDM ili iendelee kuaminika inahitaji MABADILIKO MAKUBWA YA VIONGOZI, haiwezekani kukawa na MWENYEKITI WA MILELE kama Mbowe na magenge yake.
 
Kabisa, hao ndio WANUFAIKA wenyewe wa pesa chafu za Mama Samia na Abdul. CDM inahitaji mabadiliko ya kiuongozi HARAKA SANA
 
Mbowe ni MFANYABIASHARA WA SIASA, hili ni dhahili sasa. Yuko kwenye cheo cha Uenyekiti wa CDM KIBIASHARA.
 
Mbowe tayari anafurushi la pesa chafu kwaajili ya kazi maalum ya KUFUBAZA UPINZANI, ili Mama Samia asipate "bugdha" kwenye uchaguzi mkuu 2025
 
Nafurahi sana haya yanayoendelea chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…