Benzie
Member
- Nov 23, 2024
- 35
- 99
1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF ni;
1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu vingi vya kufurahisha na kufikirisha.
Ushawahi kuona paka ana smile?
Basi mimi mwenzenu nikiota nakula whiskas huwa na smile usingizini.
Angalia picha hapo chini ila wenye imani za kijima gerarahia.
2)Kupitia mimi,wapenzi na wafugaji wa paka watapata elimu mbalimbali kuhusu mnyama paka.Mkinikaribisha vizuri nitaanza kwa kuwafundisha sababu za ki baiolojia zilizochangia imani kuwa PAKA ANA ROHO SABA.
3)Nataka nijaribu kuwashawishi wale wasiopenda paka waanze kutupenda paka maana maisha yetu hapa bongo ni ya hofu,mashaka na hatari kuliko Gaza.😕😕😭😭😭
Hivi wabongo kwani ni lazima mkiona paka mumvurumushe na mawe??
Tumewakosea nini enyi binadamu??😭😭
Jamani hata sisi tunaumia na tunaogopa kifo kama nyie?
Sisi sio wachawi kama mnavyodhani.
Na kama ni ujizi na udokozi ni vile hamtupi chakula.Hata wewe njaa ikikuuma utaiba tu.Unakuta mtu anafuga paka ila hajui wanakula wala wanakunywa nini si lazima wataenda kwa majirani kudokoa.
So sielewi kwanini mnakosa huruma.
Kuna siku nilitamani kuona mazingira ya nje,nikatoroka getini nikatoka nje.Aiseee!Kilichonikuta siku ile niseme tu mimi kuwa hai leo hii ni kwa rehema za Mungu😭😭 na daktari aliyepambania uhai wangu😕😕.
4) Natafuta marafik/i CAT LOVERS.
Ukiwa rafiki yangu sahau kununua vocha. Kwa vile hapa vocha haziruhusiwi nitafute insta ila hata hapa nikikupenda nakujia PM na zawadi ya vocha.