mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
haya bwana,Uncle @mshamba_hiyo dislike na tusi naomba ufute umenionea.
Mbona wale wanaopush ajenda za kubomolewa vinyeo huwapi dislike na kuwatukana.
Ina maana kufundishana kuhusu paka forum itaharibika ila contents za upinde na vinyeo forum haiharibiki?
kila mmoja na afanye vile apendavyo
mods ndo waamuzi sio mimi