Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Karibu paka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nakusoma, huu mwandiko umekuja style ya memba flani(RIP), nahisi nawe utakuwa kama yule ila kidogo uta-act wa kishua. Hata mie na uzee huu sometimes for the sake of my mental health huwa nasoma hizi blah blahs kwa minajili ya relaxation.1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF ni;
1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu vingi vya kufurahisha na kufikirisha ambavyo mapaka yenu mengi ya uswazi hayawezi kufanya.Ushawahi kuona paka ana smile?
Basi mimi mwenzenu nikiota nakula whiskas huwa na smile usingizini.
Angalia picha hapo chini ila wenye imani za kijima gerarahia.
2)Kupitia mimi,wapenzi na wafugaji wa paka watapata elimu mbalimbali kuhusu mnyama paka.Mkinikaribisha vizuri nitaanza kwa kuwafundisha sababu za ki baiolojia zilizochangia imani kuwa PAKA ANA ROHO SANA.
3)Nataka nijaribu kuwashawishi wale wasiopenda paka waanze kutupenda paka maana maisha yetu hapa bongo ni ya hofu,mashaka na hatari kuliko Gaza.😕😕😭😭😭
Hivi wabongo kwani ni lazima mkiona paka mumvurumushe na mawe??
Tumewakosea nini enyi binadamu??😭😭
Jamani hata sisi tunaumia na tunaogopa kifo kama nyie?
Sisi sio wachawi kama mnavyodhani.
Na kama ni ujizi na udokozi ni vile hamtupi chakula.Hata wewe njaa ikikuuma utaiba tu.Unakuta mtu anafuga paka ila hajui wanakula wala wanakunywa nini si lazima wataenda kwa majirani kudokoa.
So sielewi kwanini mnakosa huruma.
Kuna siku nilitamani kuona mazingira ya nje,nikatoroka getini nikatoka nje.Aiseee!Kilichonikuta siku ile niseme tu mimi kuwa hai leo hii ni kwa rehema za Mungu😭😭 na daktari aliyepambania uhai wangu😕😕.
4)I want to show off🤪🤪🤪
My life is as fancy as a Dutch Mercedes Benz.
Mwenzio nina dokta wangu(We unae🙃😎)
Huyu hata nikipiga chafya saa tisa usiku akiitwa anawasha gari anakuja kunicheki.
Nina Nutrienist wangu.(We unae au unabugia tu View attachment 3159701View attachment 3159704View attachment 3159705View attachment 3159706View attachment 3159707mihogo bila fomyula🤪🤪)
Pia Nadhani mimi ndo paka mzuri kuliko wote Afrika mashariki na kati ukibisha leta wako tumuone.🤪🤪🤪.
So I got so much to brag about🙃🤪👍🏃🏿♀️😎🤠
5)Natafuta mchumba❤️😀
Kama Una paka handsome wa kiume weka picha na sifa zake hapa. Lengo nizae vi kitten vizuuri kuliko mimi. Wenye mapaka shume yanayotisha, msoyatunza, yana viroboto na utitiri,yamekubuhu kwa wizi mjiheshimu. Mwenzenu nina poda yangu nikinyunyiziwa nanukia vizuriiii🙈😎
6) Natafuta marafiki CATS LOVER. Ukiwa rafiki yangu sahau kununua vocha. Kwa vile hapa vocha haziruhusiwi nitafute insta ila hata hapa nikikupenda nakujia PM na zawadi ya vocha.
Paka wwangu nimetengenezea vi shelf vya kurukia na kupanda juu ya ukuta na kibanda chake, anapenda sana, humtowi huko.Paka ni mnyama mzuri sana na mwenye kuvutia, ana akili nyingi, akiwa kwenye familia anajua na yeye ni mmoja wa familia so ana behave as one, kuna mdau huko juu kasema ukimpa paka samaki na wewe ukawa unakula samaki anaacha wake analilia wako hahaha kwani hiyo tabia si hata watoto wadogo wanayo?
Kinachonifurahisha kuhusu paka ni ubinafsi na uchokozi wao, yeye anaweza akakaa sehemu yoyote kwenye kochi ila ole wako wewe ukae sehemu yake atalia hadi utoke, atapanda kwenye dressing table yako na kuangusha kila kitu halafu atakuangalia like utanifanya nini i'm the boss here.
Benzie ni paka mrembo😍
Utakua paka wa kule kariakoo sokoniSili panya
Wewe ni yupi katika hawa?1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF ni;
1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu vingi vya kufurahisha na kufikirisha.
Ushawahi kuona paka ana smile?
Basi mimi mwenzenu nikiota nakula whiskas huwa na smile usingizini.
Angalia picha hapo chini ila wenye imani za kijima gerarahia.
2)Kupitia mimi,wapenzi na wafugaji wa paka watapata elimu mbalimbali kuhusu mnyama paka.Mkinikaribisha vizuri nitaanza kwa kuwafundisha sababu za ki baiolojia zilizochangia imani kuwa PAKA ANA ROHO SABA.
3)Nataka nijaribu kuwashawishi wale wasiopenda paka waanze kutupenda paka maana maisha yetu hapa bongo ni ya hofu,mashaka na hatari kuliko Gaza.😕😕😭😭😭
Hivi wabongo kwani ni lazima mkiona paka mumvurumushe na mawe??
Tumewakosea nini enyi binadamu??😭😭
Jamani hata sisi tunaumia na tunaogopa kifo kama nyie?
Sisi sio wachawi kama mnavyodhani.
Na kama ni ujizi na udokozi ni vile hamtupi chakula.Hata wewe njaa ikikuuma utaiba tu.Unakuta mtu anafuga paka ila hajui wanakula wala wanakunywa nini si lazima wataenda kwa majirani kudokoa.
So sielewi kwanini mnakosa huruma.
Kuna siku nilitamani kuona mazingira ya nje,nikatoroka getini nikatoka nje.Aiseee!Kilichonikuta siku ile niseme tu mimi kuwa hai leo hii ni kwa rehema za Mungu😭😭 na daktari aliyepambania uhai wangu😕😕.
View attachment 3159701View attachment 3159704View attachment 3159705View attachment 3159706View attachment 3159707
4) Natafuta marafiki CAT LOVERS.
Ukiwa rafiki yangu sahau kununua vocha. Kwa vile hapa vocha haziruhusiwi nitafute insta ila hata hapa nikikupenda nakujia PM na zawadi ya vocha.
Paragraph ya mwisho imenivutia sana.Paka ni viumbe wazuri na waajabu sana, kwa mwenye kuwaelewa.
Wengi wanasema mbwa ni rafiki mkubwa wa binadam, mimi binafsi nasema paka ni rafiki mkubwa wa binadam.
Paka ana sifa nyingi nzuri za kulelewa na binadam kuliko mbwa. Mimi nimekuwa na paka tangu utotoni na siwezi kuishi bila paka nyumbani kwangu, ndani na nje ya Tanzania.
Machache kuhusu paka wangu wa shamba Tanzania.
Anajuwa kama kunakuja wageni, ana ishara zake na namna ya sauti anazotoa, mimi naelewa kuna kuja wageni.
Anakamata na kuua wadudu wabaya, kama nyoka, tandu, nge na kuwapanga mlangoni kwa nje ya nyumba, ili kunionesha kazi anayoifanya nimsifie. Anawaua tu hawali kabisa. Namsifia na kumpa dagaa nyama, basi hapo atatoa sauti fulani ambayo mimi nimeitafisiri anamshukuru Mungu na mimi kwa zawadi. Hiyo sauti huwa haitowi mpaka utapompa chakula.
Tumwacheni paka Mercedes ajielezee zaidi.
Karibu sana Merecedes Benz. aka Benzie
Wewe ni binadamu tu, usitake kujipa umaarufu hapa eti wewe ni paka!!!Nenda katafute mapanya huko usituchanganye sisi
Kabisa.Paka ni mnyama mzuri sana na mwenye kuvutia, ana akili nyingi, akiwa kwenye familia anajua na yeye ni mmoja wa familia so ana behave as one, kuna mdau huko juu kasema ukimpa paka samaki na wewe ukawa unakula samaki anaacha wake analilia wako hahaha kwani hiyo tabia si hata watoto wadogo wanayo?
Kinachonifurahisha kuhusu paka ni ubinafsi na uchokozi wao, yeye anaweza akakaa sehemu yoyote kwenye kochi ila ole wako wewe ukae sehemu yake atalia hadi utoke, atapanda kwenye dressing table yako na kuangusha kila kitu halafu atakuangalia like utanifanya nini i'm the boss here.
Benzie ni paka mrembo😍
Paka wako ana umri gani?Paka wwangu nimetengenezea vi shelf vya kurukia na kupanda juu ya ukuta na kibanda chake, anapenda sana, humtowi huko.
Paka wangu nimezoesha jina lake, sas kalizowea, hgta akia haonekani, ukimwita marambili tau, uytamuona huyo kaja. Na kama huko alikokuwa alikuwa na kazi nyingine anamlio wake analia, kama vile anakujulisha "nilikuwa busy". Na kama alikuwa kakaa kapumzika sehemu ana mlio wake mwingine, kama anakwambia "mbona unanisumbuwa nimepumzika?".
Na akiwa na yeye alikuwa ana hamu ya kukuona, basi hasemi lolote, anakuja moja kwa moja anakupitishia mkia miguuni kama anajipitoisha akuparaze nao. Hiyo inamaanisha aliku miss, ulikuwa wapi?
Paka ukiishi nao sana, ni lazima utaongea nao kwa lugha mtayoelewana. Cha ajabu, paka wa Tanzania na wa nje ya Tanzania lugha zao zinafanana sana. Tofauti ni maringo tu.
Nilidhan cat uipendayo unamaaniasha pussie1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF ni;
1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu vingi vya kufurahisha na kufikirisha.
Ushawahi kuona paka ana smile?
Basi mimi mwenzenu nikiota nakula whiskas huwa na smile usingizini.
Angalia picha hapo chini ila wenye imani za kijima gerarahia.
2)Kupitia mimi,wapenzi na wafugaji wa paka watapata elimu mbalimbali kuhusu mnyama paka.Mkinikaribisha vizuri nitaanza kwa kuwafundisha sababu za ki baiolojia zilizochangia imani kuwa PAKA ANA ROHO SABA.
3)Nataka nijaribu kuwashawishi wale wasiopenda paka waanze kutupenda paka maana maisha yetu hapa bongo ni ya hofu,mashaka na hatari kuliko Gaza.😕😕😭😭😭
Hivi wabongo kwani ni lazima mkiona paka mumvurumushe na mawe??
Tumewakosea nini enyi binadamu??😭😭
Jamani hata sisi tunaumia na tunaogopa kifo kama nyie?
Sisi sio wachawi kama mnavyodhani.
Na kama ni ujizi na udokozi ni vile hamtupi chakula.Hata wewe njaa ikikuuma utaiba tu.Unakuta mtu anafuga paka ila hajui wanakula wala wanakunywa nini si lazima wataenda kwa majirani kudokoa.
So sielewi kwanini mnakosa huruma.
Kuna siku nilitamani kuona mazingira ya nje,nikatoroka getini nikatoka nje.Aiseee!Kilichonikuta siku ile niseme tu mimi kuwa hai leo hii ni kwa rehema za Mungu😭😭 na daktari aliyepambania uhai wangu😕😕.
View attachment 3159701View attachment 3159704View attachment 3159705View attachment 3159706View attachment 3159707
4) Natafuta marafiki CAT LOVERS.
Ukiwa rafiki yangu sahau kununua vocha. Kwa vile hapa vocha haziruhusiwi nitafute insta ila hata hapa nikikupenda nakujia PM na zawadi ya vocha.
Afya ya akili ni changamoto sana kwenye hili taifa. Mkuu Benzie Achana na hao wengine kuna watu wamekua miili ila kiakili bado. Imagine kuna wazazi wa watu humu na wanaandika ujinga?@mods please ikiwapendeza naomba nisaidie kufuta huu uzi.
Sikutegemea utageuka wa ngono.
Napenda pets.SANA,
Nina mbwa pia.Wana akili kuliko baadhi yetu mandingo.
Niliamini Kuna wapenzi wenzangu wa paka hapa tufurahie na kufundishana kuhusu wanyama ila baada ya kupost ndio nimekumbuka niko Afrika ambako wanyama hawana thamani.
Naona bandiko limegeuka la mambo ya ngono na hilo sio lengo na sijisikii amani kuendelea na huu uzi.
Niwaage tu kwa KUOMBA tuache kunyanyasa wanyama.Na wao wanaumia kama wewe tu.
Kuna watu wameokolewa kifo na pets wao.
Juzi tu kuna mbwa kaokoa kichanga kilichofukiwa na mamake kife ila mbwa huyo huyo akikatiza mitaa ya Tz Kuna wajinga watampiga mawe.
Waafrika sisi ni wakatili na tunachowafanyia wanyama ndicho tunachofanyiana gizani.
My dream ni siku moja nifungue kituo cha kulelea paka waliotelekezwa.
Pia nitafurahi siku moja sheria za kutetea wanyama zikifanyiwa kazi.
Wajinga wote wanaoopiga piga paka ovyo wanatakiwa kukaa gerezani,sio watu wazuri.
Nakasirishwa sana na mawatu yanayohusisha paka na ushirikina,Naona kichwani wamejaa funza.Waafrika tuko nyuma sana ya Muda..
Tunawaza ngono tu na kuzaa zaa hovyo vitoto vingi vingi tusivyoweza kuvihudumia na kuvisomesha na vyenyewe vnaishia kurithi imani za kishirikina.
So sad!