mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
shida zake hizo muachieMkuu kuna nyumbu amenifanisha na wewe haujaoan au umevunga tu🤔🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida zake hizo muachieMkuu kuna nyumbu amenifanisha na wewe haujaoan au umevunga tu🤔🤔
Hahahashida zake hizo muachie
Nimekunyw dawa kali naumwa ila leo kidogo nina ahueniMkuu nahisi unagida mbege kwenye bohora 🤔 sio kwa kingereza hicho😅
Pole sana mangiNimekunyw dawa kali naumwa ila leo kidogo nina ahueni
Dawa zinanilevya
Nakuelewa sana dada yangu bravo🙏Paka ni voiumbe wazuei na waajabu sana, kwa mwenye kuwaelewa.
Wengi wanasema mbwa ni rafiki mkubwa wa bindam, mimi binafsi nasema paka ni rafiki mkubwa wa bindam.
Paka ana sifa nyingi nzuri za kullrwa na binadam kuliko mbwa. Mimi nimekuwa na paka tangu utotoni na siwezi kuishi bila paka nyumbani kwangu, ndani na nje ya Tanzania.
Machache kuhusu paka wangu wa shamba Tanzania.
Anajuwa kama kunakuja wageni, ana ishara zake na namna ya sauti anazotoa, mimi naelewa kuna kuja wageni.
Anakamata na kuua wadudu wabaya, kama nyoka, tandu, nge na kuwapanga mlangoni kwa nje ya nyumba, ili kunionesha kazi anayoifanya nimsifie. Anawaua tu hawali kabisa. Namsifia na kumpa dagaa nyama, basi hapo atatoa sauti fulani ambayo mimi nimeitafisiri anamshukuru Mungu na mimi kwa zawadi. Hiyo sauti huwa haitowi mpaka utapompa chakula.
Tumwacheni paka Mercedes ajielezee zaidi.
Karibu sana W@Merecedes Benz.
Mie moshi mkuu, cha arusha ndio mikoa yangu ninayopenda kutembelea na kupoza bichwa.Mkuu bora tupige gambe tu😂😂😂
YKumbe.
Why?
Wanyumbani wewe mkuu😅Mie moshi mkuu, cha arusha ndio mikoa yangu ninayopenda kutembelea na kupoza bichwa.
Jina la movieUmenikumbusha movie moja (true story), ya binti mmoja (pichani chini) ambaye alijifanya yeye ni nyau, kiasi kwamba hakutaka kutambulika kwa jina lake halisi...
![]()
Jina la movie
Mapenzi yake kwa paka yalizidi.
Kuna aliyefanya surgery awe paka.
Mimi napenda sana paka,ni sehemu ya familia, ni wanyama wazuri
Ntaitafuta iyooSound of Hope: The Story of Possum Trot
1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF ni;
1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu vingi vya kufurahisha na kufikirisha ambavyo mapaka yenu mengi ya uswazi hayawezi kufanya.Ushawahi kuona paka ana smile?
Basi mimi mwenzenu nikiota nakula whiskas huwa na smile usingizini.
Angalia picha hapo chini ila wenye imani za kijima gerarahia.
2)Kupitia mimi,wapenzi na wafugaji wa paka watapata elimu mbalimbali kuhusu mnyama paka.Mkinikaribisha vizuri nitaanza kwa kuwafundisha sababu za ki baiolojia zilizochangia imani kuwa PAKA ANA ROHO SANA.
3)Nataka nijaribu kuwashawishi wale wasiopenda paka waanze kutupenda paka maana maisha yetu hapa bongo ni ya hofu,mashaka na hatari kuliko Gaza.😕😕😭😭😭
Hivi wabongo kwani ni lazima mkiona paka mumvurumushe na mawe??
Tumewakosea nini enyi binadamu??😭😭
Jamani hata sisi tunaumia na tunaogopa kifo kama nyie?
Sisi sio wachawi kama mnavyodhani.
Na kama ni ujizi na udokozi ni vile hamtupi chakula.Hata wewe njaa ikikuuma utaiba tu.Unakuta mtu anafuga paka ila hajui wanakula wala wanakunywa nini si lazima wataenda kwa majirani kudokoa.
So sielewi kwanini mnakosa huruma.
Kuna siku nilitamani kuona mazingira ya nje,nikatoroka getini nikatoka nje.Aiseee!Kilichonikuta siku ile niseme tu mimi kuwa hai leo hii ni kwa rehema za Mungu😭😭 na daktari aliyepambania uhai wangu😕😕.
4)I want to show off🤪🤪🤪
My life is as fancy as a Dutch Mercedes Benz.
Mwenzio nina dokta wangu(We unae🙃😎)
Huyu hata nikipiga chafya saa tisa usiku akiitwa anawasha gari anakuja kunicheki.
Nina Nutrienist wangu.(We unae au unabugia tu View attachment 3159701View attachment 3159704View attachment 3159705View attachment 3159706View attachment 3159707mihogo bila fomyula🤪🤪)
Pia Nadhani mimi ndo paka mzuri kuliko wote Afrika mashariki na kati ukibisha leta wako tumuone.🤪🤪🤪.
So I got so much to brag about🙃🤪👍🏃🏿♀️😎🤠
5)Natafuta mchumba❤️😀
Kama Una paka handsome wa kiume weka picha na sifa zake hapa. Lengo nizae vi kitten vizuuri kuliko mimi. Wenye mapaka shume yanayotisha, msoyatunza, yana viroboto na utitiri,yamekubuhu kwa wizi mjiheshimu. Mwenzenu nina poda yangu nikinyunyiziwa nanukia vizuriiii🙈😎
6) Natafuta marafiki CATS LOVER. Ukiwa rafiki yangu sahau kununua vocha. Kwa vile hapa vocha haziruhusiwi nitafute insta ila hata hapa nikikupenda nakujia PM na zawadi ya vocha.