makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
1. Paka = PUSSY
2. PAKA haishi ghetto la msela.
2. PAKA haishi ghetto la msela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni mtu ama paka?We mbona nakuonaga na pigo za ki yellow bus yellow bus flani hiv😀i sikutegemea ungekasirishwa na paka but it's okay peace out
Mkuu neno puss liheshimiwe asee sio kila puss ni puss cat mangi.🤔Pussy cat
Mkuu bora tupige gambe tu😂😂😂1. Paka = PUSSY
2. PAKA haishi ghetto la msela.
kuna watu wanaandika vitu vya ajabu sana humuHaha mod mshamba unamlima mtu dislike
I would say that's kinky....😋Paka!
Miaow miaow miaow
Atiiii........???1: Hello humans.
My name is Benzie.
Mercedes Benz.
Iam six months old.
Iam a girl.
Naomba mnipokee na mnipe nafasi ktk mtandao wenu huu bora kuliko yote hapa Tz🙏🏼🙏🏼.
Lengo la kujiunga hapa JF ni;
1)Kuonyesha karama zangu mbalimbali alizonijalia Mungu.Mimi ni paka mwenye uwezo wa kufanya vitu vingi vya kufurahisha na kufikirisha ambavyo mapaka yenu mengi ya uswazi hayawezi kufanya.Ushawahi kuona paka ana smile?
Basi mimi mwenzenu nikiota nakula whiskas huwa na smile usingizini.
Angalia picha hapo chini ila wenye imani za kijima gerarahia.
2)Kupitia mimi,wapenzi na wafugaji wa paka watapata elimu mbalimbali kuhusu mnyama paka.Mkinikaribisha vizuri nitaanza kwa kuwafundisha sababu za ki baiolojia zilizochangia imani kuwa PAKA ANA ROHO SANA.
3)Nataka nijaribu kuwashawishi wale wasiopenda paka waanze kutupenda paka maana maisha yetu hapa bongo ni ya hofu,mashaka na hatari kuliko Gaza.😕😕😭😭😭
Hivi wabongo kwani ni lazima mkiona paka mumvurumushe na mawe??
Tumewakosea nini enyi binadamu??😭😭
Jamani hata sisi tunaumia na tunaogopa kifo kama nyie?
Sisi sio wachawi kama mnavyodhani.
Na kama ni ujizi na udokozi ni vile hamtupi chakula.Hata wewe njaa ikikuuma utaiba tu.Unakuta mtu anafuga paka ila hajui wanakula wala wanakunywa nini si lazima wataenda kwa majirani kudokoa.
So sielewi kwanini mnakosa huruma.
Kuna siku nilitamani kuona mazingira ya nje,nikatoroka getini nikatoka nje.Aiseee!Kilichonikuta siku ile niseme tu mimi kuwa hai leo hii ni kwa rehema za Mungu😭😭 na daktari aliyepambania uhai wangu😕😕.
4)I want to show off🤪🤪🤪
My life is as fancy as a Dutch Mercedes Benz.
Mwenzio nina dokta wangu(We unae🙃😎)
Huyu hata nikipiga chafya saa tisa usiku akiitwa anawasha gari anakuja kunicheki.
Nina Nutrienist wangu.(We unae au unabugia tu View attachment 3159701View attachment 3159704View attachment 3159705View attachment 3159706View attachment 3159707mihogo bila fomyula🤪🤪)
Pia Nadhani mimi ndo paka mzuri kuliko wote Afrika mashariki na kati ukibisha leta wako tumuone.🤪🤪🤪.
So I got so much to brag about🙃🤪👍🏃🏿♀️😎🤠
5)Natafuta mchumba❤️😀
Kama Una paka handsome wa kiume weka picha na sifa zake hapa. Lengo nizae vi kitten vizuuri kuliko mimi. Wenye mapaka shume yanayotisha, msoyatunza, yana viroboto na utitiri,yamekubuhu kwa wizi mjiheshimu. Mwenzenu nina poda yangu nikinyunyiziwa nanukia vizuriiii🙈😎
6) Natafuta marafiki CATS LOVER. Ukiwa rafiki yangu sahau kununua vocha. Kwa vile hapa vocha haziruhusiwi nitafute insta ila hata hapa nikikupenda nakujia PM na zawadi ya vocha.
No give me yours so I will keep it happyDo you have one?
Sijamuita hapa kwangu alikuja mwenyewePaka ni mnyama msafi mkuu.
Ukiona anajisaidia ndani au kwenye unga ni hajaandaliwa sehemu yake ya kujisaidia?
Hivi mtu akikupiga na wewe buti utajisikiaje?
Kama Kulia kwake kunakukera means sio mpenzi wa paka so usiwafuge kisha uwatese.
Na wao wanaumia kama wewe
Mkuu kuna nyumbu amenifanisha na wewe haujaoan au umevunga tu🤔🤔kuna watu wanaandika vitu vya ajabu sana humu