TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Majorwitch finder inaonyesha mchawi aliyemtumia huyo jamaa ni mchawi mkali kweli, and this could spark mega witches war! 😂😂 amani itakuwa ndogo sana kwa atakaye jihusisha na issue za huyo jamaa that mean ameogopesha watu 😁😁
This could spark mega witches war 😅😅 kila upande umeanza kutayarisha missile zao ??!!
 
View attachment 2618772

Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Dah! MUSIBA amepona. Poleni sana wafiwa.
 
Sawa Musiba,
Naona umekuja kujitetea humu,
Ila atakae teuliwa kusimamia mirathi ya BM,
Alikumbuke na hili deni la marehemu analo mdai Musiba......
Unahisi kwa nini siku 5 zilipita na hakuna kilichoendelea? Ukiacha kwenda kumdai unahisi kwa nini walishindwa kumgusa musiba kwa namna nyingine!

Kuna kitu hatujui, musiba pengine ana nguvu kubwa nyuma yake
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
kwani changamoto ya kifua na kupumua bado ipo? itabidi tuchanje tena.
 
Back
Top Bottom