TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Musiba ni mchawi kwelikweli. We jiulize kwa nini hakuna aliyeweza kumgusa hadi sasa zaidi walikimbilia mahakamani. Maana tuliambiwa like kikundi ni mamafia sana, lakini kwa musiba sijui wameshindwaje
BIBLIA INAANDIKA ISIMUACHE MCHAWI AISHI, TATIZO KUUTHIBITISHA NDIPO SHUGHULI ILIPO! 😂
 
Hawa watu walijua shida tumeumbiwa team Magufuli
Piga mabomu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.

Wazuri hawafi, alisema Mzee Makamba, RIP Membe, kila nafsi itaonja mauti, na duniani tu wapita njia tu mambo ya kujipiga kifua na kujiona mungu mtu ni ujinga tu ,wanadamu yatupasa tuwe wanyenyekevu, kuna watu wengine tena watu wazito wanashangilia vifo vya wenzao,hata kama mtu humpendi kwa jadi yetu sisi Waafrika hatupaswi kushangilia kisa tusiompenda kaondoka kwa hiyo sasa ndio muda muafaka wa kulamba asali. RIP brother Membe Mungu akuondolee adhabu ya mauti,sote tu wakosaji kutokana na tamaa za kidunia ambazo hutujaza kiburi na kuona hakuna wengine zaidi yako mwenyewe.
 
Back
Top Bottom