Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Walijua Mungu anawasikiliza wao tuu 😅😅😅😅Yaani nyie waswahili mlijua Mungu ni wenu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walijua Mungu anawasikiliza wao tuu 😅😅😅😅Yaani nyie waswahili mlijua Mungu ni wenu tu?
BIBLIA INAANDIKA ISIMUACHE MCHAWI AISHI, TATIZO KUUTHIBITISHA NDIPO SHUGHULI ILIPO! 😂Musiba ni mchawi kwelikweli. We jiulize kwa nini hakuna aliyeweza kumgusa hadi sasa zaidi walikimbilia mahakamani. Maana tuliambiwa like kikundi ni mamafia sana, lakini kwa musiba sijui wameshindwaje
Musiba atakuwa na smiling face siku ya leo.
Lakini Shangazi bado yupo na anadai zile 2B+
Atanyolewa tu in any way.
Tutolee utaahira wako hapa!Sikuwahi kujuwa kama una akili ndogo kiasi hiki, unaelewa maana ya mirathi ni nini?
mungu wenu ni dhaifu, amechelewa, alitakiwa ugomvi huu auamuwe kabla ya hukumu, lakini is too late mungu wenu dhaifu hawezi kubadili chochote, minada inaendelea na pesa lazima zilipwe.Sisi team Musiba Mungu ametuamlia ugomvi
Piga mabomu tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Hawa watu walijua shida tumeumbiwa team Magufuli
Wazuri hawafi, alisema Mzee Makamba, RIP Membe, kila nafsi itaonja mauti, na duniani tu wapita njia tu mambo ya kujipiga kifua na kujiona mungu mtu ni ujinga tu ,wanadamu yatupasa tuwe wanyenyekevu, kuna watu wengine tena watu wazito wanashangilia vifo vya wenzao,hata kama mtu humpendi kwa jadi yetu sisi Waafrika hatupaswi kushangilia kisa tusiompenda kaondoka kwa hiyo sasa ndio muda muafaka wa kulamba asali. RIP brother Membe Mungu akuondolee adhabu ya mauti,sote tu wakosaji kutokana na tamaa za kidunia ambazo hutujaza kiburi na kuona hakuna wengine zaidi yako mwenyewe.Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Kudaiwa kidogo tu unakimbilia kwa mgangaMakata ikitumwa haikoseagi ni faster!
Alisema Membe amsamehe Musiba kwa kuwa viongozi waandamizi wa dini wamemfuata (Membe) kumuombea radhi kwa niaba ya Musiba. Na kwamba asipofanya hivyo atajikuta pabaya
Musiba, msiba. RIP Kachero mbobezi.
Mungu ameamua ugomvi wake na Musiba kwa sauti ya Nape NAUYE!Innalillah wainaillah rajuun! Deni watu wameshindwa kulipa wametafuta njia mbadala waswahili wamechukua hukumu zao, tunajuana na kesi za mahakamani ndio wengine wanamaliza kwa mtindo huu. Kesi hapa imeisha hiyo!
Achana na membe kabisa😧😧Ahsante mkuu. Wewe mwelevu ni Mzuri hautakufa. Mungu akujaalie kadri ya uelevu wako.