Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Akidai Mungu ataamua ugomviBora shangazi aache kudai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akidai Mungu ataamua ugomviBora shangazi aache kudai.
Ndio, alikuwa kajichimbia visiwa vya ukara kwa ajili ya kazi hiyoKakwambia yeye ndiyo kamuua?
Hawezi kupumzika kwa amani maana kafa akiwa na chuki na Musiba tena isiyo sababu. Sababu ilikuwa moja tu, kuwakomesha supporters wa JPM. Hapo amani itoke wapi?Nimeona makada wa juu washamuweka status ila yote tisa kumi kachero mtiifu pumzika kwa amani
Ni suala la mda tuu watalamba mchanga na waoSi waliitisha mkutano wa hadhara kule Lindi, Nape akatangaza kwamba Mungu ameamua ugomvi. Bahari imetulia.
kwa kadri ya Mzee Makamba alisema mtu anayekufa ni mbaya hivyo wao hawastahili na akaenda mbali zaidi kuwa wazee waliamuaHivi hii nchi watu hawatakiwi kufariki bila kuuwawa?
Pumzika kwa amani mzee Membe.
Sio poa kabisa yaan kuna watu wa ajabu sana afu anafikiri watu hawatojua ukweli, shenzi kabisaKwa hiyo musiba anadhani hii ndio njia ya ku set aside exparte judgment?
Kwa hiyo YONO haitatekeleza hukumu?Wewe tulia,muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.
Mhhh! Kirahisi tu, unapata changamoto ya kifua ndani ya muda mfupi, na kufariki dunia!! Kweli kifo ni fumbo la ajabu sana.
UMEME WA MOYO RIP MZEE, WEMA HAWAFIAliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Haraka Sana bila kupoteza muda hio Billion 9 ilipwe bila longo longo zozote maana hawachelewi kupindua Meza,Familia yake ilipwe fedha na Musiba.