TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki...
Kumbe kesi ya Musiba kushtakiwa na Membe ni hiyo? Sasa Membe alishindaje wakati ilikuwa ukweli mtupu Membe alitaka yeye awe mgombea wa CCM na sio Magufuli? Kwenye mahakamani kuna mambo.
 
Wakati Msiba Ukiwa Chatle kwao ilikuwa sherehe. Kwao Ulikuwa wakati wa kugonga cheeers wakati Watanzania wengine wakilia kwa uchungu na kuvunja mageti ya Airport wakitaka kumuaga shujaa wao.

Kwao ulikuwa wakati wa kupanga mikakati ya kupora rasilimali za Nchi.

Kwao ulikuwa wakati wa kutamka maneno ya shombo, kejeli, vijembe na hata kufadhili uandishi wa Vitabu vya kufuta Legacy ya Mwanachatle.

Kwenu ulikuwa wakati wa Kuanza kuwasulubu wapenda heri wote waliokwamisha ajenda zenu.

Mlienda mbali zaidi mkatamka WAZURI HAWAFI.

Watanzania tuliwaona kwa macho na kuwaskia kwa maskio yetu. Kuna Vifo vikitokea nasisi wanyonge hatuna budi kuuulizana hawa watu si walisema Wazuri hawafi?? Imekuaje? Na badoooo
 
Majorwitch finder inaonyesha mchawi aliyemtumia huyo jamaa ni mchawi mkali kweli, and this could spark mega witches war! [emoji23][emoji23] amani itakuwa ndogo sana kwa atakaye jihusisha na issue za huyo jamaa that mean ameogopesha watu [emoji16][emoji16]
Musiba ni mchawi kwelikweli. We jiulize kwa nini hakuna aliyeweza kumgusa hadi sasa zaidi walikimbilia mahakamani. Maana tuliambiwa like kikundi ni mamafia sana, lakini kwa musiba sijui wameshindwaje
 
Kwamba hatalipa? Hiyo haitakaa itokee kwenye madai yake alijumuisha familia Sasa kama unavyojua Kuna Sheria ya mirathi "kukusanya na kulipa madeni yote ya marehemu"

Kweli kabisa,

Afadhali angekuwepo mwenyewe labda angesamehe lakini warithi hawawezi kusamehe na kwa kuzingatia kifo chenyewe cha utata wa gafla watakuwa na hasira mno!

Sasa sijui atawanyamazisha wangapi ?
 
Sikuwahi kujuwa kama una akili ndogo kiasi hiki, unaelewa maana ya mirathi ni nini?
Wewe tulia, muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.
 
Back
Top Bottom