This could spark mega witches war π π kila upande umeanza kutayarisha missile zao ??!!Majorwitch finder inaonyesha mchawi aliyemtumia huyo jamaa ni mchawi mkali kweli, and this could spark mega witches war! ππ amani itakuwa ndogo sana kwa atakaye jihusisha na issue za huyo jamaa that mean ameogopesha watu ππ
mungu wenu ni dhaifu, amechelewa, alitakiwa ugomvi huu auamuwe kabla ya hukumu, lakini is too late mungu wenu dhaifu hawezi kubadili chochote, minada inaendelea na pesa lazima zilipwe.
Mungu fundiAlitaka aondoke na 9 billion za Musiba!! Dadadeki ni hatari
Dah! MUSIBA amepona. Poleni sana wafiwa.View attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Unahisi kwa nini siku 5 zilipita na hakuna kilichoendelea? Ukiacha kwenda kumdai unahisi kwa nini walishindwa kumgusa musiba kwa namna nyingine!Sawa Musiba,
Naona umekuja kujitetea humu,
Ila atakae teuliwa kusimamia mirathi ya BM,
Alikumbuke na hili deni la marehemu analo mdai Musiba......
Kwa ninavyowajuwa Wamakonde kama kuna mkono wa mtu basi kabla ya Arobaini ya Membe lazima chuma kiitike.Musiba nae Hamalizi mwaka
Waliobaki watakazia hukumuMusiba anachekelea tu [emoji28][emoji28]
Leo lazima afanye sherehe kama anti Jpm walivyofurahia
Kama wamemtanguliza watamfuata
Kuna kisiwa huko cha ukara, ndio uchawi anautolea hukoMlongo mganga wa Musiba sio wa kutoka Maniamba msumbiji kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani changamoto ya kifua na kupumua bado ipo? itabidi tuchanje tena.Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa alipata changamoto ya kifua na kupelekwa alfajiri ya leo Hospitalini hapo na baadaye kufariki.
Tatizo kila mtu sasa hivi kawa mchawiBIBLIA INAANDIKA ISIMUACHE MCHAWI AISHI, TATIZO KUUTHIBITISHA NDIPO SHUGHULI ILIPO! [emoji23]