TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Msimamizi wa mirathi wa Membe nasikia ndio hatari zaidi, hivyo Musiba asidhani kuvunjika kwa koleo ndio mwisho wa uhunzi
Hakuna fisadi yoyote tanzania aliye fanyiwa hukumu kama ya musiba ...wakati musiba ajafanya ufisadi wowote hata kuiba kipande cha sabuni sasa hiyo hukumu ya mamilioni kwa mabilioni ni uhuni kamili...mahakimu wauza ngada na majaji nwauza ngada ndiyo wametumika ...bado wao ...siku zao zina hesabika
 
R.I.P KACHERO MBOBEZI,

Najaribu kuwaza BM angeukwaa Uraisi Ile 2015 NDIO kusema Leo tungekua na TANZIA,
Tanzia ya kumpoteza Amir jeshi mkuu...au Kifo kinge be SKIPPED.....

Lowassa is still alive..na wengi wali mtabiria mzee lowassa kua hatoboi... wenyewe NDIO hawajatoboa....

Najaribu kuwaza..

2 Tim 4:7​

Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani Umeilinda

Pumzika Kwa amani,

R.I.P Mh. Benard Membe
Lowassa Yuko South Africa in comma
 
Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!
So unaridhi mpaka kesi?
 
Back
Top Bottom