Hakuna fisadi yoyote tanzania aliye fanyiwa hukumu kama ya musiba ...wakati musiba ajafanya ufisadi wowote hata kuiba kipande cha sabuni sasa hiyo hukumu ya mamilioni kwa mabilioni ni uhuni kamili...mahakimu wauza ngada na majaji nwauza ngada ndiyo wametumika ...bado wao ...siku zao zina hesabikaMsimamizi wa mirathi wa Membe nasikia ndio hatari zaidi, hivyo Musiba asidhani kuvunjika kwa koleo ndio mwisho wa uhunzi
Siku 5 zilipita unahisi kwa nini hao madalali wameshindwa kupiga mnada?Nikisema huna akili nitakuwa nakukosea?
Dalali anayeuza Mali anapewa kazi na mahakama na ana commission yake, sijui mlikwenda shule kufanya nini yarabi?
Una kihere here Sana , wakat Maghufuli anatukanwa humu ulikuwa umekalisha komwe , sa hv unaquote wanaume hovyo hovyo , utapopolewa
sawaUna kihere here Sana , wakat Maghufuli anatukanwa humu ulikuwa umekalisha komwe , sa hv unaquote wanaume hovyo hovyo , utapopolewa
Mlongo yaani itakuwa kunigeriaMlongo mganga wa Musiba sio wa kutoka Maniamba msumbiji kweli?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ikianza itafululiza kwa watu.Kama wamemtanguliza watamfuata
Only God knows.
VP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Ongeza kupiga fataki na baruti uzi uzidi kukimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]Uzi unakimbia huoo ndio trend ya mwez huu mpaka maziko na weng
Kiimani hakuna kulala unono maana wanasiasa wote huwa ni mashetani. Sijui kwa nini watu hutumia nguvu za giza kuwa wanasiasaLala unono Benard.
Usijali hata Team msoga hamtamaliza mwakaMusiba nae Hamalizi mwaka
Wewe endelea kuishi kwa hisia, Mimi nimekupa fact za kisheria.Siku 5 zilipita unahisi kwa nini hao madalali wameshindwa kupiga mnada?
Lowassa Yuko South Africa in commaR.I.P KACHERO MBOBEZI,
Najaribu kuwaza BM angeukwaa Uraisi Ile 2015 NDIO kusema Leo tungekua na TANZIA,
Tanzia ya kumpoteza Amir jeshi mkuu...au Kifo kinge be SKIPPED.....
Lowassa is still alive..na wengi wali mtabiria mzee lowassa kua hatoboi... wenyewe NDIO hawajatoboa....
Najaribu kuwaza..
2 Tim 4:7
Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani Umeilinda
Pumzika Kwa amani,
R.I.P Mh. Benard Membe
So unaridhi mpaka kesi?Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!