Raha ya Milele Umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
 
Musiba alisema atachukua maamuzi magumu; naona ameamua kuanza na Membe. Bado Zitto Kabwe na January Makamba.
 
Changamoto ya upumuaji bado IPO. Mwezi huu wanne ilipamba Moto Sana. Binafsi ilitupitia watu wawili nikiwemo Mimi tarehe 24/4-9 May nikawa Sawa. Nilipambania za hospital na kienyeji Ila ukweli mziki wake si wa kitoto. Kinga ilikuwa inashuka kwa speed ya radi sema nikawa napambana kuhakilisha nakula immune boosting stuff. Ila ya safari hii haikunipiga kama Ile ya August 2021 maana kipigo kile kulikuwa kibaya mno.
Rest in Eternal Life Ben. Pesa yako Kwa msiba itaendekea kudaiwa na familia yako maana hukumu ilishatoka. Hivyo hakuna case closed maana ilikuwa imeshaamuliwa.
 
Korona ipo na inauwa wazee pumzika kwa aman Membe. Lowasa Mungu akulinde.
 
Sasa hapa itakuwaje au ndio Musiba kanusrika hivyo? Wanasheria mliomo humu JF tunaomba mtusaidie kudadavua hili sakata la kisheria.
 
Musiba hahusiki na kifo cha huyu bali ni Mungu ameamua kuonyesha ukuu wake dhidi ya mtu jeuri anaekaidi hadi viongozi wa dini.



Viongozi wa dini ni binadamu wa kawaida na wao wana yao mazito chungu nzima [emoji108]

Imeandikwa; “ yanayofanyika kwa Siri ni aibu hata kuyanena hadharani “

Moyo wa mwanadamu aujue Mungu Muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…