Jiulize kwa nini hawakumshtaki kipindi Magufuli yupo?Unafikiri Mahakama wanatoa haki kila hukumu?
Hawakumshtaki kipindi kile kwa kuwa Musiba alikuwa anatumiwa na Magufuli kutukana watu, so alikuwa anamkingia kifua. Hakuna hakimu wala jaji angeweza kuwagusa team Magufuli na Sukuma Gang.

Lakini kama mahakama imemuonea mbona mwenyewe hajakata rufaa badala yake alikuwa anatuma watu kumuombea msamaha kwa Membe? Why?
 
Mimi ni Team JPM, lakini sipo kabisa kwenye huu ujinga wa kufurahia na kushangilia kifo cha mtu mwingine, hata angekuwa adui. I'm sorry for you!
 
Apumzike kwa amani,kabla haijalipwa na musiba Mungu amemchukua

Amekufa bila kumsahemu Musiba huyu pita kuleeee

USSR
Akili nyingine bnana!!kwa akili yako unadhania na kesi ambayo tayari hukumu yake ipo tayari imekufa?hukumu iko pale pale tu labda familia yake waamue kuachana nayo!!
Kwa hiyo zambi aliyokuwa nayo ni hiyo tu ya membe??
 
I remember to comment 🀐
 
Usishangilie kama WAPUMBAVU wafanyavyo.

Lipa wema ukitendewa baya.

Mwogope Mungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] pigaaaaa keleeeeeleeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…