TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Kwa Lugha nyepesi kabisa na hili liweze kufahamika kwamba kwa namna yoyote ile utawala wa chama kile umefika ukomo, kwani hata huyu angekuwa kiongozi wa nchi, saizi taifa lingekuwa kwenye maombolezo.

Hizi ni ishara tu na kama kutakuwa kuna kulazimisha kubaki katika utawala baada ya miaka 40 ya kuanzishwa kwao na kutawala kwao basi tutasikia wengi wakiwahi viwanja.

Kwa wasomaji wa Biblia, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, tawala za watu mbalimbali wakiwemo kina Mussa, Suleiman na wengineo wengi zilikuwa ni miaka 40. Miaka 40 kwa nchi yetu na chama kile iliishia 2017 na ilipotokea kulazimisha mambo wote twajua yaliyotokea.

Asikiaye na Afahamu.
Umenifumbua macho

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ndo jaji mkuu,si unaona kaamua mazima?Hata angekata rufaa asingeshinda. Bora amekata rufaa kwa Mungu.
Hiyo ni HBP ilianza baada ya kuambiwa akipiga hii (kulipwa na Musiba) atapumzika moyo wake utatulia.

Likianza zogo, basi huwa ni HBP kwenda juu na unakuwa hutulii na hiyo huathiri afya.

Ni HBP imeharibu.

Ukifika umri huo ni bora mazoezi magodomadogo, kutembea, kunyanyua vyuma vyepesi na kadhalika.

Ukipata nafasi ya kusafiri wakwea pipa kusafisha macho.

Hii dunia ni mapito tu, binadamu tuache mazogo yaso na msingi.
 
Back
Top Bottom