Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Yes deni liko pale pale...VP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes deni liko pale pale...VP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Inabidi kuangalia kwa jicho la tatu, je Old CEO hajambadilikia na kumuua mwenzake ili asitie nia 2025?Tena leo ana uchungu sana,best friend wake katangulia.
Mbona kwenye misiba ya mtaani huwa naona mingine kuna kuwa na utani au kwa mzoga wa membe ni haramu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ni Team JPM, lakini sipo kabisa kwenye huu ujinga wa kufurahia na kushangilia kifo cha mtu mwingine, hata angekuwa adui. I'm sorry for you!
We unaumwa kinyeredi au?!!!
Kuzuga nini?????!!!! Kivp yaani?!!!!! Iweje?!!!!!!!!!!!
Watu mnareact kicheko raraa reree 🤔🤔
Yeye mwenyewe alishangilia mwache viboko ya Mungu vimushughulikie!Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani...
SKG in action! Cyprian Musiba huponi bado! Wale SKG walio kwenye system wamefanya yao kukuponya
Umenifumbua machoKwa Lugha nyepesi kabisa na hili liweze kufahamika kwamba kwa namna yoyote ile utawala wa chama kile umefika ukomo, kwani hata huyu angekuwa kiongozi wa nchi, saizi taifa lingekuwa kwenye maombolezo.
Hizi ni ishara tu na kama kutakuwa kuna kulazimisha kubaki katika utawala baada ya miaka 40 ya kuanzishwa kwao na kutawala kwao basi tutasikia wengi wakiwahi viwanja.
Kwa wasomaji wa Biblia, kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka ufunuo, tawala za watu mbalimbali wakiwemo kina Mussa, Suleiman na wengineo wengi zilikuwa ni miaka 40. Miaka 40 kwa nchi yetu na chama kile iliishia 2017 na ilipotokea kulazimisha mambo wote twajua yaliyotokea.
Asikiaye na Afahamu.
Hiyo ni HBP ilianza baada ya kuambiwa akipiga hii (kulipwa na Musiba) atapumzika moyo wake utatulia.Mungu ndo jaji mkuu,si unaona kaamua mazima?Hata angekata rufaa asingeshinda. Bora amekata rufaa kwa Mungu.
Aisee!!Na wewe jiandae kutwaliwa maana ulishangilia!
Kwanza kachero gani anajifia kizembe namna hiyo?
Mungu ameamua ugomvi!
Mungu fundi.