Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Haya uliyasema hata kwa walioshangilia kifo cha Magufuli?Aisee!!
Ndicho mlichobakia nacho. Mmejaa roho za visasi ni shetani tu ndiye anayependezwa nanyi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya uliyasema hata kwa walioshangilia kifo cha Magufuli?Aisee!!
Ndicho mlichobakia nacho. Mmejaa roho za visasi ni shetani tu ndiye anayependezwa nanyi!!
Mbona ulifurahia kifo cha Magufuli hapo kijiweni kwako na baadhi ya marafiki zako?!Kufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!
Ni mtu mjinga tu anayewaza kwamba kufa ni udhaifu!!
Chadema toeni tamko
Kweli kabisa hii..Wanaoshangilia kifo ni wajinga. Kifo hata ushangilie kwa adui yako bado na wewe utakufa tu iwe leo au kesho. Sioni sababu ya kushangilia kufo maana wote tutakufa
Sorry, mkuu. Hivi wewe ni mojawapo kama family member? Because unaandika mambo ya nafsini mwao.Kweli kabisa,
Afadhali angekuwepo mwenyewe labda angesamehe lakini warithi hawawezi kusamehe na kwa kuzingatia kifo chenyewe cha utata wa gafla watakuwa na hasira mno!
Sasa sijui atawanyamazisha wangapi ?
Anazingua kweliWe jamaa vp
Nafikiri kuna mti shamba hapa.Hapo hakuna mba mba mba ni zamu yake imefika tu,
Hayo mengine ni hisia za walimwengu tu
mwambie huyo bwege! Kila siku thread za kumkashifu Magufuli!Haya uliyasema hata kwa walioshangilia kifo cha Magufuli?
Membe amezaliwa mwaka 1953 na amefariki mwaka 2023, ni miaka 70 net.Usikute ni maandalizi ya 2025?
Haya haya haya tafakuri Kali mmeachiwa. Wema hawafi ila wabaya wanakufa who is who?View attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Kaka Allen Kilewella! Umeniumiza moyo kwa tahadhari uliyotoa! Lakini huwenda na wewe umesahau kwamba, wewe ni miongoni mwa walio/wameendelea kukashifu sana kuhusu Magufuli kwa kufa kwakeKufa siyo kiboko bali kufa ni faradhi!!
Ni mtu mjinga tu anayewaza kwamba kufa ni udhaifu!!
Is just a coincidence or it related to the case mentioned above☝️☝️☝️☝️?View attachment 2618772
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Duuuuuuh. Kwa mala ya kwanza Leo nimekupongeza. Lakini Hadi Leo wapi watu wanashangilia hata kama adui yako kafa Huwa tunaacha yote yaliyopitaaa, sio kutoa FURAHA na kumhusisha mungu eti ni fundii. Tujifunze kuwa wapole, mbele ya haki Kila mtu ataenda Kwa wakati wake.Tumefika hapa kwasababu wapo wajuaji waliogoma kusahau yaliyopita, wayaache yaende, wakajiona wamekaa juu wamefika, wao kila siku ikawa ni kumuimba marehemu mtangulizi, wakajisahau wakidhani kifo kina undugu au urafiki, leo kifo kimewakumbusha hakina mwenyewe.
Sio wakati wa kulaumiana tena, maisha ni fumbo, tujifunze kuyaacha yaliyopita yapite, lakini sio kujisahau na kujipachika majina ya ajabu kama wazuri hawafi au Mungu fundi, leo majina hayo hayo yanarudishwa upande wa pili, ni vyema wahusika wayapokee kama walivyoanza kuwapa wenzao, time to feel a test of your own medicine.
Wazuri hawafi....Makamba sr. Naye tunamsubiriKama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Mkuu acha upumbavu,huu uzi wa majonzi wewe unaleta ujinga wako,kwanini usifungue uzi wa kuwaomba watu wakupigie kura!?SoC03 - Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu naomba kura yako mkuu katika andiko langu