Mnazika ama mnasafirisha
 
Naaona leo mmefufua zile akaunti zenu mlizokuwa mmezizika!!

Leo mmekuja na "Full swing" kama mko harusini na chereko za kutosha!!
Wapiiiii selfiiii ya mzoga wa kanyero mbobeziii[emoji879][emoji879][emoji879][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Silipingi jibu lako, kwa sababu ni dhana kama ilivyo yangu. Uwezekano wa moja ya hizi mbili kutokea ni 50%.

Nakukumbusha, unapozungumzia 70 years, kumbuka the ex-president Mwinyi anagonga 100 sasa! Hapo unasemaje?

Last but not least, ^mwisho mwema^ ukoje? Kufa bila maumivu? I'm very curious here.
 
Sema ukweli tu kwamba wewe ni kati ya walioumizwa na kifo cha kipindi kile na sasa umeufurahishwa na kifo cha sasa hivi ila unajaribu kufanya ni ku present kwa namna ya kubalance ila lengo kuu wajitokeze wenzako kushangilia kupitia uzi huu.

Ila ujue tu kwamba, unao watafuta wala hawakuwahi kuwa upande wa Membe, ilitokea tu wakayaonga mkono madai na misimamo yake dhidi ya mtu wenu.

Kwa kujaribu kulazimisha kumuinua Membe ili mjisikie faraja inadhihirisha ninyi na mtu wenu mlikua ni Public enemies ndiyo maana hamjui ni wakati gani hasa wale mliowaumiza na wao mtawaona wakiumia na labda ndiyo maana sasa hivi kila matukio ya kuumiza watu yakitokea mnashangilia.

Wananchi wakilalamikia tozo mnaishia kusema ndiyo, lipeni tozo, si mliona mwendazake hafai?
Mkiona ajali zinawaumiza watu mnafurahia.

Vitu vikipanda bei na kuwaumiza watu mnafurahia.
Watu wakiuawa mnafuahia.
Huduma zikiwa mbovu na kuumiza watu mnafurahia.
Chochote kibaya sasa hivi mnakifurahia ili mradi kiumize watu.

Hii yote ni sababu washiriki wa utawala ule na wafuasi wao wote walikua ni public enemies.
 
Mnaona Watanzania tulipo fika jamani...

Visasi vitatumaliza
 
Mkuu hii kitu najiuliza zaidi ya wiki ya tatu sasa Kuna ka upepo ka kifua kubana na kukohoa na homa juu wenye mamlaka watupe taarifa Ili tuanze Kujipiga nyungu.
MM mwenyewe nimebanwa na mbavu wiki ya jana si mchezo nimepata homa ya mafua yaani balaa na wala sijaenda hospital zaidi ya kupiga nyungu tu leo ndo afadhali ila itabidi niende hospital maana naona hali si hali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…