You can’t defame a deceased person, hiyo kesi ishaisha.

Hakuna mdai tena wa defamation.

Tumeumbiwa udongo na tutarudi kwa udongo.

R.I.P Membe

Usifurahie jambo ambalo utaki wewe likupate kiko wapi leo.
hakuna kesi, kesi ilishaisha ikabaki kulipa. Ni deni. Na warithi wana haki ya kurithi madeni ya marehemu kupitia Msimamizi wa mirathi atakayeteuliwa.


JESUS IS LORD
 
Well said mkuu, nahuo ndio ukweli.
Humu wapo waliokwenda mbali zaidi nakusema kama unampenda marehemu kazikwenae, Mungu anaangalia midomoyao.
 
Hayo ni mawazo ya kijinga kweli,Wapo waliompenda Magu na Wapo waliomchukia KUTOKANA na matendo yake.Hata wewe ukifa Leo sio wote watakao lia itategmeana na jinsi ulivyo ishi nao
 
Wazuri hawafi....Makamba sr. Naye tunamsubiri
yani acha tu😁

hatimaye kachero mbobezi mzee wa gusa unase kawa MWENDAZAKE😁
Kufa ni kufa tu!!

Nani anabisha kwamba kufa ni kufa tu.

Ila kuna watu huwa wanaamini kwamba wapendwa wao hawawezi kufa. Na wakifa ndiyo watu huwakumbusha kwamba hawawezi kuzuia mtu kufa.
UMEJUA LEO HILI?😁

tunawasubiri na wazuri wengine ambao hawafi

mlijawa kashfa mkaita na majina yote mkidhani nyie au jamaa zenu wataishi milele

Mungu wetu sote
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…