Amefanyiwa na nani? Nani anastahili hayo madhila?Apumzike kwa amani, pamoja na kazi kubwa aliyoitumikia taifa letu, amefanyiwa madhila asiyo stahili, nenda baba yetu Membe, ukikutana na Magufuli msalimie mwambie duniani tunapita.
😂😂😂 Eti wali MaharageHakuna jiwe halitogeuzwa. Kila mtu atalia kwa lugha yake na maumivu yake ndipo watakapo sema heri wafu wafao ktk Bwana. Waliodhani wamesha mzika sasa wanajizika wakiwa hai hofu imetanda kila kila mahali nawale wanahaha kutoa roho za wenzao ili madudu yao yasijulikane wakae mkao wakula... Nimwendo wa wali maharage...
Na mimi nimemtukana matusi yote ya nguonì huyo mzoga wenuNape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.
Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Hyo heshima ya utu imeanza lini?? Ndo kashakuwa mzigo km unaumia nenda kazikwe nae kwiii kwiii kwiii[emoji2957]Heshimu utu wa mtu,ndio maana tamaduni zetu mwili unazikwa lakini nafsi yake inabakia kwa vipenzi wale wa karibu yake,ndio maana hata makaburi yanajengewa na kutunzwa
Watuache kwa raha zetu kufa kufaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wasitupangie cha kuposti[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hyo heshima ya utu imeanza lini?? Ndo kashakuwa mzigo km unaumia nenda kazikwe nae kwiii kwiii kwiii[emoji2957]
Binadamu gani huyo niliye muita mzoga[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Sheikh, Sio maneno Mazuri Kes Binadamu Mwenzako aliyekuwa! Mzoga ?? Sio Vizuri. R.I. P Membe..
Km imekuuma kazikwe nao mzoga wenuSheikh, Sio maneno Mazuri Kes Binadamu Mwenzako aliyekuwa! Mzoga ?? Sio Vizuri. R.I. P Membe..
Ni kweli Mungu ni fundi ndio maana Lisu aliye pigwa risasi 30 yuko hai wakati aliye amuru apigwe risasi hizo yuko chato analiwa na funza.Mungu fundi
Ubaya ni musiba hujui ety 9bln ya kumchafua na pesa hampati tunafurahia maneno ya nape na makamba decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estateInawezekana kuwa hujui historia.
Suala la kufa lilianza tangu zama za Adam Na Eva.
Mtu akifa watu wakafurahi huwa hawafurahii mtu huyo kufa bali wanafurahia mtu mbaya kuondoka kwenye jamii yao.
Membe hakuna mtu aliyemtendea ubaya!!
Au wewe unaweza kuutaja ubaya wa Membe kwa watu!!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila we jamaa mchokozi sanaTunakumbuka Sherehe za Kifo cha Chacha South Africa!
Hii ni dalili moja wapo ya kuonesha ni jinsi gani nchi ilivyo jaa wapumbavu.Tanzania ndio nchi pekee mwanasiasa hatakiwi kufa, akifa anatafutwa mtu wa kubebeshwa lawama. Hapo bado hujaongeza kwamba wao hawashtakiwi, hata wakipata ajari tunafichwa, hata wakiumwa hatuambiwi, wakiiba hela wanatakiwa wajifikirie.
Nchi ya ajabu hii
Kazikwe nao mzoga wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuwa nyuma ya keybord isikufanye unawehuka,kwako unamuona ivyo lakini nyuma yake ni wengi wanaomtegemea,mfano wewe baba yako mzazi anafariki halafu anatokea mtu unamsikia anasema mbele yako huo mzoga wa baba yako unauzika,utajisikia,heshimu mtu hata yule usiyemjua
Tukifa walalahoi wao huendelea na starehe zao. Leo zamu yao kufa, zamu yetu kuendelea na starehe zetu. Tusipangiane cha kufanya kisa msiba wa kachero.Si vizuri kushangilia kifo.
We tumeshakuzoe na maneno matupuHakuna jiwe halitogeuzwa. Kila mtu atalia kwa lugha yake na maumivu yake ndipo watakapo sema heri wafu wafao ktk Bwana. Waliodhani wamesha mzika sasa wanajizika wakiwa hai hofu imetanda kila kila mahali nawale wanahaha kutoa roho za wenzao ili madudu yao yasijulikane wakae mkao wakula... Nimwendo wa wali maharage...
Haswaaaa na zamu yenyewe ndo hiii wapi kinywajiiii[emoji28][emoji28][emoji28]Tena mwendazake wao wala hajatangazwa kitaifa, yaan katangazwa mitandaoni tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kutesa kwa zamu.