Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Amefanyiwa na nani? Nani anastahili hayo madhila?Apumzike kwa amani, pamoja na kazi kubwa aliyoitumikia taifa letu, amefanyiwa madhila asiyo stahili, nenda baba yetu Membe, ukikutana na Magufuli msalimie mwambie duniani tunapita.
Nimeamini mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu panauma.