TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Hakuna jiwe halitogeuzwa. Kila mtu atalia kwa lugha yake na maumivu yake ndipo watakapo sema heri wafu wafao ktk Bwana. Waliodhani wamesha mzika sasa wanajizika wakiwa hai hofu imetanda kila kila mahali nawale wanahaha kutoa roho za wenzao ili madudu yao yasijulikane wakae mkao wakula... Nimwendo wa wali maharage...
😂😂😂 Eti wali Maharage
 
Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian.

Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja wa waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe naye. Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Na mimi nimemtukana matusi yote ya nguonì huyo mzoga wenu
 
Mungu fundi
Ni kweli Mungu ni fundi ndio maana Lisu aliye pigwa risasi 30 yuko hai wakati aliye amuru apigwe risasi hizo yuko chato analiwa na funza.
Mungu ni fundi ndo maana walio mkejeri Rowasa kwenye kampeni mwaka 2015 kwa sababu ya afya yake mpaka wakapiga pushap sasa hivi ni mizoga wakati Rowasa yuko hai.
 
Inawezekana kuwa hujui historia.

Suala la kufa lilianza tangu zama za Adam Na Eva.

Mtu akifa watu wakafurahi huwa hawafurahii mtu huyo kufa bali wanafurahia mtu mbaya kuondoka kwenye jamii yao.

Membe hakuna mtu aliyemtendea ubaya!!

Au wewe unaweza kuutaja ubaya wa Membe kwa watu!!??
Ubaya ni musiba hujui ety 9bln ya kumchafua na pesa hampati tunafurahia maneno ya nape na makamba decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate
 
Tanzania ndio nchi pekee mwanasiasa hatakiwi kufa, akifa anatafutwa mtu wa kubebeshwa lawama. Hapo bado hujaongeza kwamba wao hawashtakiwi, hata wakipata ajari tunafichwa, hata wakiumwa hatuambiwi, wakiiba hela wanatakiwa wajifikirie.
Nchi ya ajabu hii
Hii ni dalili moja wapo ya kuonesha ni jinsi gani nchi ilivyo jaa wapumbavu.
 
Kuwa nyuma ya keybord isikufanye unawehuka,kwako unamuona ivyo lakini nyuma yake ni wengi wanaomtegemea,mfano wewe baba yako mzazi anafariki halafu anatokea mtu unamsikia anasema mbele yako huo mzoga wa baba yako unauzika,utajisikia,heshimu mtu hata yule usiyemjua
Kazikwe nao mzoga wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Madhila aliyofanyiwa na serikali ya awamu ya tano, chini ya Hayati Rais Magufuli si mazuri hata kidogo, Membe amepitia kipindi kigumu sana yeye pamoja na familia yake, poleni sana familia, ndugu jamaa na marafiki kwa kundokewa na kipenzi cha wengi.
 
Hakuna jiwe halitogeuzwa. Kila mtu atalia kwa lugha yake na maumivu yake ndipo watakapo sema heri wafu wafao ktk Bwana. Waliodhani wamesha mzika sasa wanajizika wakiwa hai hofu imetanda kila kila mahali nawale wanahaha kutoa roho za wenzao ili madudu yao yasijulikane wakae mkao wakula... Nimwendo wa wali maharage...
We tumeshakuzoe na maneno matupu
 
Back
Top Bottom