Mwingine alisema Bahari imetulia
 
Ila Membe si kafa, ama?!
 
Mbona wewe huendi kumfufua membe hapo kairuki? Naona ungemuwahi sahizi kabla hajaanza kunuka
 
Sukuma Gang wanateseka sana lakini hakuna namna wataweza kuingia ikulu pasipo kutubu dhambi zao, dhambi kubwa ikiwa jaribio la kumuua Tundu Lissu kwa maelekezo ya kiongozi wao aliyekufa. Mungu anawaona.
 
Mungu pekee ndo anaejua,

Sasa mvurugano upi?Kaacha mke na watoto watatu tu,ambao mama yao ni mmoja.Wala hata hawataendelea na hili dai.
Ikitokea Wakili akafanya utekelezaji wa hukumu na hii ni kama alikuwa instructed hivyo, basi mirathi ya Membe itafungwa siku Musiba atakapofariki na mirathi yake kufungwa pia.

Hii sio rahisi hivyo, hasa kwakuwa ni mtu maarufu.

Japo haya mambo hayana fomula, ila mambo ya mirathi ni moja ya kesi pasua kichwa.
 
Wewe unadhani kuwachafua watu ndio ushabiki chapati? Lazima huyo mbwa afilisiwe ili iwe fundisho kwa wengine.

Yono mwenyewe kakimbia shoo huyo wakili anatokea wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…