TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Nape Nauye, waziri wa habari, tayari amekaangwa na Mungu mbele ya macho yake kutokana na lugha zake chafu alizowahi kuzitoa baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kauli ya kwamba Mungu ameamua ugomvi ilionekana wazi alishangilia msiba wa Rais wetu. Leo na yeye Nape ameonyeshwa namna ambavyo Mungu ameamua ugomvi wa Memba na Cyprian Musiba.
Bernard Membe alikuwa na ukaribu mkubwa na Nape Nauye ndiyo maana alipoamua kusitaafu ubunge akamwachia Nape Jimbo la Mtama awe mbunge wao.

Bado Zito Kabwe, kwani na yeye ni mmoja ya waliotoa lugha chafu kwa hayati Magufuli kwamba anayempenda akazikwe nae.
Zito Kabwe atashuhudia ukuu wa Mungu mbele ya macho yake.
Mwingine alisema Bahari imetulia
 
Acheni kujitia moyo, Membe alikwishastaafu utumishi wa umma so impact ya vifo vyao ni tofauti kabisa. JPM alikua anaogopeka na hakuna aliyeweza mzuia kwa chochote ila Mungu tu.

so msitafute consolation kwa Membe kwamba ni karma he was done at the mainstream politics.

poleni sana
Ila Membe si kafa, ama?!
 
We USITISHE WATU; UGOMVI WA MEMBE NA MSIBA NDIO UNANZA RASMI; MEMBE KAHAKIKISHA HATOI MSAMAHA NA ALIKATAAm, UPO mpaka hapo umenisoma
Mwendazake alishajiendea zake kitambo iliobaki history so usitishe watu. Na wewe kama unataka kafukue kaburi lake umfwate hapa hatishiki mtu. Haki itabaki kuwa haki nchi yetu sote; sukuma gang kwishnea, mtalipa deni hilo, alietakiwa kusamehe kaamua kufumba mdomo, ndio ujua chapter mpya inaanza mtalipa
Mbona wewe huendi kumfufua membe hapo kairuki? Naona ungemuwahi sahizi kabla hajaanza kunuka
 
Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.

Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.

Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.

Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Sukuma Gang wanateseka sana lakini hakuna namna wataweza kuingia ikulu pasipo kutubu dhambi zao, dhambi kubwa ikiwa jaribio la kumuua Tundu Lissu kwa maelekezo ya kiongozi wao aliyekufa. Mungu anawaona.
 
Mungu pekee ndo anaejua,

Sasa mvurugano upi?Kaacha mke na watoto watatu tu,ambao mama yao ni mmoja.Wala hata hawataendelea na hili dai.
Ikitokea Wakili akafanya utekelezaji wa hukumu na hii ni kama alikuwa instructed hivyo, basi mirathi ya Membe itafungwa siku Musiba atakapofariki na mirathi yake kufungwa pia.

Hii sio rahisi hivyo, hasa kwakuwa ni mtu maarufu.

Japo haya mambo hayana fomula, ila mambo ya mirathi ni moja ya kesi pasua kichwa.
 
Wewe unadhani kuwachafua watu ndio ushabiki chapati? Lazima huyo mbwa afilisiwe ili iwe fundisho kwa wengine.

Ikitokea Wakili akafanya utekelezaji wa hukumu na hii ni kama alikuwa instructed hivyo, basi mirathi ya Membe itafungwa siku Musiba atakapofariki na mirathi yake kufungwa pia.

Hii sio rahisi hivyo, hasa kwakuwa ni mtu maarufu.

Japo haya mambo hayana fomula, ila mambo ya mirathi ni moja ya kesi pasua kichwa.
Yono mwenyewe kakimbia shoo huyo wakili anatokea wap
 
Back
Top Bottom