Kang'ata shukaa za Kairukiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jasusi chaliiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kazi ziko nyingi Duniani hata kusoma watu wanavyosherehekea kifo cha Hayati Membe. Ni kazi pia. Na ataenilipa yuko.

Maana si kila mtu ana ujuzi wa kuona haya.
 
Kazi ziko nyingi Duniani hata kusoma watu wanavyosherehekea kifo cha Hayati Membe. Ni kazi pia. Na ataenilipa yuko.

Maana si kila mtu ana ujuzi wa kuona haya.
Basi sawaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
johnthebaptist Tego huwa lina sifa zipi?

Maana mwezi uliopita kuna mwili wa binti ulisusiwa na wana ukoo kuuzika wakidai ana Tego, nilitaka kujitosa mimi ili kuuchukua mwili wa marehemu nikatamani nipate japo wana ukoo hata watu au wanne ili tubembe gharama za mazishi, lkn tulipingwa mkwara hatari na wana ukoo, mwisho wa siku nikawa mimi na mama mdogo tu na yeye ni mama wa nyumbani, ikabidi tuache ila niliumia sana mwana ukoo kuzikwa na Serikali kisa ana Tego.
Je Tego ni kitu gani hasa na je ni kitu halisi au ni woga kwa watu wasio na imani katika Mungu wa mbinguni tu?

Kama Musiba kafanya ile Kitu Wabena wanaita " Tego" ujue hakuna mrithi
 
Hapana, atafufuka mshkaji wake aliyekufwa leo membe
Membe kafa kishujaa na kifo cha kawaida kama atakakufa binadam yeyote yule.
Tatizo ni pale unapoua kutesa, kuteka binadam wenzako wakati na wewe njia moja hiyo hiyo. Ndo maana tulifurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…