Hata alivyokufa Nyerere kuna watu walishangilia binadamu ndivyo walivyo
 
Hatimaye Chama cha Watu Wema Hawafi kimefikiwa!
 
Kwan membe naye alifanya ukatili?
 
Malipi kivipi, kwani kuna anaehusika kwa mwenzake??
Wote Mungu kawachukua mwenyewe.
 
Membe kafa kishujaa na kifo cha kawaida kama atakakufa binadam yeyote yule.
Tatizo ni pale unapoua kutesa, kuteka binadam wenzako wakati na wewe
Weka ushaidi wa nani alitesa watu. Weka ushaidi. Halafu utuambie nani alimtesa ULIMBOKA, Nani alimuua MWANGOSI, nani alimuua mfanyabiashara wa MAHENGE ! Nani nauliza
 
Cha kawaida, Chifu! Hakuna cha mkono wa mtu wala nini!!
Mkuu, unajua kabisa Mimi huwa nachukulia mabandiko yako kwa uzito mkubwa. Nakuamini kwa sababu nikama ulikuwa Karibu kiasi na familia ya Mzee Membe(RIP)- Mzee alisoma na Baba yako Mkubwa. Sema maadishi yako kwenye bandiko nilililonukuu hapa juu linanishutua kwa kumalizia sentensi zako na alama ya mshangao (!).
 

Mpumbavu ni wewe na Familia yako. Mbona umeumia sana?? Alikua anakupa hela ya kula??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…