Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
Inaonekana viongozi wameunganishwa kwenye gridi ya taifa. Ila hamna shida booster, njugu na minjingu za kutosha zipo.Changamoto ya upumuaji awamu ya pili imeanza, baadhi ya viongozi waandamizi wachukue tahadhari..
Acha Uongo ,Mh SSH alisema kwamba JIWE alifariki kwa matatizo ya Moyo.Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.
Kubenea alimwagiwa Tindikali na nani mwaka 2008?, Mwakyembe aliwekewa sumu na nani mwaka 2012, Absom Kibanda alingolewa jicho na nani mwaka 2012 akiwa mkurugenz mkuu wa gazeti la MTANZANIA?Ukwel unakemewa tena?
Hiv mnajua hata kina max wa JF walitishiwa? Kama hawakusimama imara pengine leo tusingekuwa na hii JF mnapojinoma kwa id fake
Lakini unaonaje mtenda mema akifa na mtenda mabaya, dhulmati, mchawi, Malaya , mwizi na mzinzi akifa?Kufa ni kufa tu death is a necessary end. Ugombane usigombane ushangilie usidhangilie unune usinune death will come when it will.
ππππ acha utani basi! Wema hawafi Makamba Voice! Wazee Mataahira hawa!Kwiii kwiii kwiii akifufuka pale pochwari atapigwa rungu moja akufweee tena, hzo bilioni atazisikia makaburini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani punguzeni ujinga wenuNiguse Ninuke,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
so what?Makamba alinukuliwa hivi karibuni akijinasibu eti wema huwa hawafi kwa nia njema kabisa ni bora aombe msamaha kwa kauli ile ya kifedhuri na iliyokuwa imejaa masimango kwa familia moja iliyokuwa imempoteza mpendwa wao.
Leo naona anashuhudia mmoja wa waliopata kutoa kauli tata kama yake baada ya kifo cha JPM anavyonangwa bila kujali kama kafa!
Nape naye alipata kutoa kauli tata ya eti Mungu aliamua ugomvi.
Jamani, kauli zenu hizo ziombeeni msamaha kabla umauti haujawakuta ili mkwepe cheko kama analochekwa mwendazake BM.
Mungu fundi.
Wakati mnazodoa mwili wa Magufuli hamkuyajua hayo?Kuwa nyuma ya keybord isikufanye unawehuka,kwako unamuona ivyo lakini nyuma yake ni wengi wanaomtegemea,mfano wewe baba yako mzazi anafariki halafu anatokea mtu unamsikia anasema mbele yako huo mzoga wa baba yako unauzika,utajisikia,heshimu mtu hata yule usiyemjua
Una ushahidi kuwa alikuwa spotter na si tapeli? Vipi kama alikuwa anakutega ili akutoe kafara?Spotters wa TISS wakikuona unafaa wanakuchukua,wapo kila mahali,nilipokua a level na 20 yrs,spotter aliniona akanifata,kwa akili za kitoto nilikataa,alinibembeleza Hadi tunamaliza six,nkagoma...huwa najuta sometimes japo pengine ningekua nshachezea shaba
Kula vzur,epuka ugomvi na zingatia sheria za barabaran usije kutangulia ww kabla ya hao unaowasubir..bila kusahau kucheck afya on the regularHakuna kasamehe. Waliowaliza watanzania lazima tuwafukie roho zetu zipate amani
Ni wapi daktari wa Magufuli alisema alikufa kwa changamoto ya kupumuaKwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!
Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.
Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?
Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!
Mungu fundi.
Hakuna uhusiano wowote. Usi mhusishe Mungu, usikalili misemo ya kijinga ya kumkufuru Mungu anawapenda waja wake.Kwa mjibu wa daktari wa Membe changamoto ya kupumua ndiyo iliyomuua. Namaanisha Membe kafa!
Ikumbukwe, changamoto ya ugonjwa kama huohuo ndiwo uliosababisha kifo cha Hayati Magufuli.
Je, mwenyezi Mungu anatupa funzo gani hapa?
Ama malipo ni hapa hapa Duniani?!
Mungu fundi.
Ameamuaje ugomvi wakati hakuna nafuu kwa Musiba ni kulipa deni pale pale?Mungu ameamua ugomvi