TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Ubaya ni musiba hujui ety 9bln ya kumchafua na pesa hampati tunafurahia maneno ya nape na makamba decree in a civil matter dies with the Plaintiff/Decree Holder's death. It cannot be inherited or be put under administration of his/her estate
Sheria Gani hiyo mkuu? Wanaorithi Mali huwa wanaorithi assets and liabilities ndio maana Kuna watu wanadai Hadi haki za nyimbo za marehemu Babu zao!!

Kingine Membe hakuwa na shida na billions alikua na shida na kumfilisi huyo jamaa kwa makosa ya kumchafua mtu (Maana brand can be valued). Kwa hiyo tusipiganie haki sababu tutakufa?

Reasoning za kimasikini sana
 
Amestaafu so Hana impact same na Lowassa au Salim Leo wakifariki Kuna impact yoyote? Ila wa JPM ulikua unique sababu kafia madarakani lakini pia alikua very powerful kama Putin hivi.

So msitafute consolation kwa misiba mingine, nothing beats kifo cha Rais madarakani
Cha muhimu ni kwamba wema hawafi
 
Hivi nyie wafuasi wa fuasi wa Magufuli kwani nyie hamta kufa?
Kila binadamu lazima afe na hata huyo Magufuli alikufa kwasababu ni binadamu
 
Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.

Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.

Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.

Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Tulia ulambe dawa
 
Spotters wa TISS wakikuona unafaa wanakuchukua,wapo kila mahali,nilipokua a level na 20 yrs,spotter aliniona akanifata,kwa akili za kitoto nilikataa,alinibembeleza Hadi tunamaliza six,nkagoma...huwa najuta sometimes japo pengine ningekua nshachezea shaba
Kazi nzuri ni ile inayokupatia uhuru hata wa kujitambulisha unakofanya kazi
 
Sijui kwanini leo nimefurahi hivi[emoji23][emoji23][emoji23] Halafu membe si alichanja hadharani?
Damu imeganda fast [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ana bahati tu kwa sababu ya matumizi ya ARV; vinginevyo na yeye ingesoma
Kweli. Nilimwona siku moja nikahisi kuna jambo kwake haliko sawa.

Aendelee tu kutafuna hayo madude lakini Iko siku yake inakuja nayo i karibu sana
 
Weka ushaidi wa nani alitesa watu. Weka ushaidi. Halafu utuambie nani alimtesa ULIMBOKA, Nani alimuua MWANGOSI, nani alimuua mfanyabiashara wa MAHENGE ! Nani nauliza
Kwa hiyo kwa sababu ulimboka naye aliteswa ndo maana na yeye alitesa watu?!!!
Acha tufurahie bana.
Mzee Membe ameishi maisha yake, amefanya yake, muda umefika ameondoka..tatizo lipo kwa katili yule.
 
Back
Top Bottom