Kuamini kuwa musiba angelipa hilo deni ni ujuha wa hali ya juu
 
JPM kwani alikua nani kwako?
Mlikutana wapi akakuimpact?
We ni fala tu uliyerithishwa chuki sexually na huyo mmeo membe aliyekufwa.
Naenda kuzikwa na membe
Mpumbavu kweli wewe.

Kwani mtu kuku impact mpaka mkutane.

Alivyozuia nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi mpaka kupelekea wamchukie walikutana nae wapi?

Ndugu wa Ben sa 8 unafikiri wanampenda Magu?

Je waliwahi kukutana?.

Huko CCM amfundishwi kufikiri kwa mantiki?

All in all jamaa lako limekufa na limeshaoza.
 
Leo nafurahi walau Mungu kawakumbusheni wale wote waliokuwa wanadhihaki kifo cha JPM kuwa kumbe kila nafsi itaonja Mauti.Linapofika swala la kifo,sote tuwe na heshima ya kuweka mipaka ya kuongea na Mzee Makamba huu ni ukumbusho kwako.RIEP Jasusi Mbobezi [emoji120]
 
Membe alifungua kesi wakati Magu bado yupo hai na ilianza kusikilizwa wakati huo, angalieni rekodi vizuri..
 
Insha ndefu ila haieleweki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…