Hakuna mwenye guarantee na uhai.membe kwani si ungesamehe tu ,hope hata Kama ungetwaliwa Basi ungeenda kwa amani.visasi sio vizuri .ukiona watu wengi wanakushauri usishupaze shingo kwa afya yako. RIP kachero mbobezi namba 3.
 
Pole yetu sote watanzania na hasa kwa familia. Pole sana Mh. Nape Nnauye kwa kuondokewa na Baba yako wa kisiasa na mlezi wako aliyekukabidhi jimbo la Mtama. Watanzania tuwe wamoja ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi. Apumzike kwa Amani Mh. Bernard Membe, hakika taifa limepoteza mwana deplomasia mahili.
 
Tunashukuru Mungu katuondolea kirusi kaamua ugomvi Sasa bahari imetulia
 
Mnashangaza sana, tuwe wamoja? Magufuli alipokufa mlitoa maneno kama haya? Acheni utani
 
R.I.p
 
Ameulaaaaaa
Katika vifo ambavyo mtu anaweza akalala uaingizi mnono, kucheka peke yake na kujibaraguza kuwa ana huzuni, kutohoa tabia zake na kuwa mlevi ama mzinzi kwa kujifariji ni hiki kifo cha Membe kwa hasimu wake Musiba!

Ciprian Musiba sasa hivi anajipongeza kwa njia ya kimojawapo nilivyovitaja hapo juu!
Alibanwa mbavu na dunia aliona imemchukia.
Lakini kupitia hili tukio, Musiba ana kila aina ya furaha na faraja isiyo kifani.
 
Samahani mi ntoe kwenye pole yako, #Wemahawafi [emoji1787][emoji1787][emoji1476][emoji1787][emoji1787]
 
Unaona pale Membe alibishana na mwekezaji mmoja wa UK. Yenye na Bernard Mengi na Reginald Mengi walibishana na investor ambaye alikuwa na Kampuni Hai,Kilimannjaro.
Kwa hiyo you cannot rule out the possibility kwamba ilikuwa hasira ya Waingereza.
 
Je ulipinga watu waliokuwa wanamtukana magufuli kama unavyopinga leo au yeye ni haki atukanwe na sio Membe
 

Mambo ya Wazazi wako yanatokea wapi hapa, hebu anza kujiheshimu kwanza wewe Mwenyewe unaejiona umestarabika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…