Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hapo hapana shida mkuuNinashukuru Sana mkuu. Ni hizi za aina ya spices kama tangawizi, tunguu maji na swaumu, limao, mdalasini, mchaichai n.k Je navyo siyo sahihi kutumia ukiwa na dawa za hospital? Mfano Mimi nilipewa Azythromycine, dawa ya kikohozi na Aspirin Junior Ila nikawa na vitamin D, C na Zincovit. Ambazo vitamin natumia mpaka Leo. Aspirin Junior nilimeza kama wiki nikaacha. Je niendelee Asprin Junior mpaka zote ziishe?
Nlijua Ni mitishamba kabisa
Kuchanganya mitishamba na dawa za hospitali mara nyingine hupelekea acute kidney injury mkuu