Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
Hakika .sauti ya wengi ni sauti ya Allah!Kila kinara wa kujitoa kafara kuangusha tawala au mtawala fulani nae hachelewi kufa, zile clips hazikuwa za bure kafara ni hapa hapa Duniani. Mungu habagui it has begun